Assalam alaykhum warahmatullah wabarakat.
Tunayo furaha kubwa kuwaalika katika Maulid ya Kuzaliwa Mtume wetu Muhammad (S.A.W) Itakayofanyika Ilford,London.
Siku ya Jumammosi Tarehe 18.02.2012.
Muda ni mara tu baada ya kumalizika kwa kisomo cha Khitma cha Ndugu yetu Aziz Shawen na Mzee wetu Jaffar Mfaume Kawawa ambapo kisomo cha khitma kitaanza saa nane kamili Mchana.
Address ni Muslim Community Centre,
Eton Road, IG1 2UE.
Mkabala na nyumba 79.
Eton Road, IG1 2UE.
Mkabala na nyumba 79.
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na
Saleh 07886193871 au Twahir 07908344948.
Saleh 07886193871 au Twahir 07908344948.
Nyote mnakaribishwa.
Wabillah Tawfiq.
Wassalam alaikum.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...