Home
Unlabelled
POOL TABLE .......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ubunifu tu, kwani kila kitu kiletwe na mchina au mzungu? Hongereni sana kwa kutumia malighafi zetu wenyewe
ReplyDeleteHARI MPYA,NGUVU MPYA NA KASI MPYA....THIS IS WHAT WE CALL DEVELOPMENT.
ReplyDeleteHii ni Aibu na sio Ubunifu:
ReplyDeleteUnaweza kukuta Halmashauri ya Wilaya ambayo Kijiji chenye pool table hii kipo ,Wilayani wamekula Mabilioni ya Shilingi za Umma, huku Wanakijiji wakijiliwaza kwa Pool table za udongo na fito mapumziko ya mchezo wa pool wanakunywa pombe za Kienyeji,,,wakisubiri kifo!
well done.
ReplyDeleteHeee heeeee ,ni Tanzania au??Nimecheka hadi basi,hapo KWENYE picha- MIDDLE/RIGHT mbona umemkata tena huyo 'kuku wa kienyeji'
ReplyDeleteDavid V'
Hii inakumbusha mbali sana,Mwai unakumbuka wapi wakati huo?
ReplyDeleteNo comment yet but lifes goes on......
ReplyDeletePato la Taifa walilochangia kwa uzalishaji wa mazao hapo Kijijini, halikuwarudishia chochote,,,Afadhali Bwana amewarudishia Uzima na Afya!
ReplyDeleteMatokeo yake wanabaki kutafuta miti,fito,kufinyanga tope na mavi ya ng'ombe kujenga pool table uchwara kujiliwaza na maisha yaliyokuwa magumu kwao na mafupi!
Duh! nao wamo, mambo ya kijijini hayo full kuiga.
ReplyDeleteMaisha Bora kwa kila mtanzania!
ReplyDeleteAnyway, ni ubunifu pia!
Nguvu Mpya,Kasi Mpya,aina amaana heti watu waperekewe vifaa vya michezo kwanza huko vijijini,bali kuna vitu muhimu kama uduma za maji,shule,zahanati n.k
ReplyDeletebaadhi ya watoa maoni wanataka kuleta siasa baadala kutaza nini muhimu kiperekwe vijijini
jamani nimefurahi,acheni kila mtu ajipe raha ya maisha.
ReplyDeleteHii safi sana.
ReplyDeleteWametumia maligafi waliyonayo kutengeneza hiyo meza na wanafurahia matunda yake.
2012 tanzania hali bado si ya kuelezeka
ReplyDeletewatu wanaangalia mjini tu majumbwa makubwa yakijengwa wanasema nchi inaendelea
mungu wabariki hao vizazi vya huko vijijini.
kweli wabongo, hivi nyie ,kukimbilia Ulaya ndo ujanja ?, kwani huko miaka 50 iliyopita hayo mnayoyaona huko yalikuwepo ? angalieni historia jamani,hata huko pool table za matope au barafu zilikuwepo na huko uesikimoni ndo usiseme maana mpaka leo kuna nyumba za mitofari ya barafu sisi huku ni tofari za tope, je tofauti yake nini ?? wao wanaita nyumba hizo Igulu sisi tunaita nyumba za tembe kama hiyo pichani ndani baridiii usingizi wa kufa mtu, nyie pondeni tu.
ReplyDeleteHII HAPANA!
ReplyDeleteHatuwezi kupiga hatua za KURUDI NYUMA bali tunataka kupiga hatua za KUSONGA MBELE!
Tusibaki, Ohhh
-HALI YETU NDIO HII HII YA CHINI!
-VYA GHARAMA HATUVIWEZI!
-MATATIZO TUMEYAZOWEA!
-TUNAWEZA KUSTAHIMILI HALI ZOTE!
-SISI NI WATU WA SHIDA TU!
HAKUNA KITU KAMA HICHO, BINAADAMU NA MAENDELEO, (Man and Development) kama ingekuwa ni hivyo basi tungeendelea kuvaa majani, magome ya miti na ngozi za Mbuzi kama Ma babu zetu!
Kama ni hivyo kwa kuwa ni Kijijini ina maana itakuwa sawa Wachezaji wa hiyo Pool wakajiburudisha kwa
-POMBE ZA KUCHACHULIWA KWA KUCHIMBIWA MAHANDAKI?
-TUMBAKU YA KUNYONGA KIGANJANI (GOSO)?
HIVI KWA MTAJI HUO SAIKOLOJIA KUANGUKA KWA UDUNI WA MAISHA NA MAZINGIRA, HAO WATAKUWA TAYARI KUJENGA UCHUMI NA JAMII NA KUWA NA MAISHA MAREFU?
Hizo juu ya meza zitakuwa ni ndulele. Hahahahaaa! Nakumbuka tulichezea sana ndulele tulipokuwa wadogo. Hawa nina hakika wakipewa vifaa watatengeneza pool table nzuri sana.
ReplyDelete