Dr. Anatory Amani, the Lord Mayor of Bukoba (center), Mr. William Erio, PPF-Director General, (second left), Mr. Martin Mmari, PPF Director of Finance, (second right), Mr. Celestine Some, PPF Ag. Director of Investments (far left) and Mr. Godfrey Grayson PPF Properties Manager (far right).
On Wednesday, the 1st February 2012 will mark an important history for Bukoba and its people. It is a day to remember as the Lord Mayor of Bukoba Municipal Council Dr. Anatory Amani, held an important meeting with the Director General of PPF Mr. William Erio and his management team.
huyu baba mungu amzidishie, siyo mchakachuaji.amejipanga kubadirisha bkb,na nimeona stand mpya itakavyo kuwa.
ReplyDeletemdau.uk.
Umenena ya ukweli. Dr. Amani, anastahili kuungwa mkono na waungwana wote. Ukizingatia na combination ya Col. Massawe, Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambavyo nayeye pia ni mtu wa maendeleo, wakati Wa kuibadilisha Bukoba na Kagera nzima ndiyo huu.
Deletewagala tupu.kweli bongo kuna mambo
ReplyDeleteHongera sana Ppf . Tunahitaji uwekezaji wenye tija ili kulinda fedha zetu na kutoa mafao bora na sio uwekezaji wa karata tatu. Hongera sana!
ReplyDeleteYeees, big up amani na wenzio, bila kumsahau headmaster wangu F. Massawe, nawakubali nyoote. one luv.
ReplyDeleteHiyo picha ya JK nyuma ya hawa jamaa iko upande.
ReplyDeletebk kwa kweli mji wetu unahitaji mabadiriko, majumba ya miaka 50 kweusi jamani. hongera sana waheshimiwa kwa mawazo mazuri.
ReplyDelete