Mkurugenzi wa Redio 5FM, Robert Francis (kulia) akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuhusu mchango unaotolewa na redio hiyo kwa  kurusha kipindi cha Amka, kitakachomsaidia na kumkwamua wanawake wa vijijini hususani kuhusu kilimo na ufugaji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...