Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Sazi Salula (shoto) akizungumza na mmiliki wa Redio Pangani FM Dkt Vera Pieroth alipotembelea Redio hiyo  wakati wa Ziara ya kukagua  Ukuta wa Ukingo wa Bahari Pangani.

Picha na mdau Ali Meja wa VPO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...