Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano wa Benki ya Stanbic, Abdallah Singano (kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Watoto Waathirika na VVU cha Tanzania Mitindo House (TMH), Bi Khadija Mwanamboka (kushoto) ikiwa ni msaada kwa kituo hicho kwa ajili ya kukabiliana na changamoto mbalimbali wakati maofisa wa benki hiyo walipotembelea kituo hicho Magomeni, Dar es Salaam jana. Wakishuhudia ni baadhi ya watoto wa TMH.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano wa Benki ya Stanbic, Abdallah Singano (kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Watoto Waathirika na VVU cha Tanzania Mitindo House (TMH), Bi Khadija Mwanamboka (kushoto) ikiwa ni msaada kwa kituo hicho kwa ajili ya kukabiliana na changamoto mbalimbali wakati maofisa wa benki hiyo walipotembelea kituo hicho Magomeni, Dar es Salaam jana. Akipokea kwa niaba ya wenzake ni mmoja wa watoto wa TMH, Rebecca Francis.

Bwana Singano mbona mnatoa pesa kidogo hivyo?
ReplyDelete