Wakina Mama wanaojishughulisha na usafishaji wa mazingira katika maeneo ya katikati ya jiji la Dar es Salaam wakiwajibika mchana wa leo katika barabara ya Mtaa wa Mkwepu,jijini Dar.Wakina Mama wengi sasa hivi wamekuwa wakijishughulisha na shughuli za namna hii na nyingine nyingi ambazo hapo awali kulikuwa na dhana ya kwamba kazi za namna hii hufwanya na kina baba pekee.
Home
Unlabelled
usafi wa mazingira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...