Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (kushoto) akiwa na wajumbe pamoja na viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani.
Ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani
Waandishi wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwa ajili ya kwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani.kutoka kulia ni Tomm Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza Mpango ' King Kiki'.
 Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib akitoa maelezo ya nyumba zinazoendelea kujengwa katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani.
 Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (mwenye shati la draft) akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia maendeleo ya kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa ya Chingungweni, zinapojengwa nyuma kwa ajili ya wasanii Sheikh Majaliwa , alitoa Ahadi ya kujenga Msikiti na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief Comettee Kuwait.(picha na www.burudan.blogspot.com)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hizo nyumba kweli wasanii watakubali kukaa?au ndo mnataka kuifanya Hollywood ya Tz!Hapo nahisi watakubali kukaa,,otherwise watakataa kama wabunge walivyogoma kuhamia Dodoma!...Ahlam,,,Uk

    ReplyDelete
  2. Msukuma wa BagamoyoFebruary 13, 2012

    Jamani waungwana mimi nauliza swali moja tu: Hivi hayo matofali nitapata wapi ni shilingi ngapi moja?

    Ahsanteni kwa ushirikiano wenu waungwana. Mbarikiwe

    ReplyDelete
  3. nimeyapenda matofali ya kuchoma. wangeezeka kwa mabati ili kupunguza gharama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...