Wachezaji wa Yanga wakishangilia wao wa bao 1-0 hii ya Ruvu Shooting Stars jioni hii Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
Mshabiki wa Yanga
Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting, Idd Nyambiso (kushoto) na Bakari Japhari wakati wa mchezo wao huo
Mshabiki wa Ruvu Shooting Stars
Mshabiki wa Yanga furahani.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Mimi Yanga damu ila Zamalek ndiyo watakuwa kipimo halisi cha timu yetu.Hatutaki mpira wa magazetini.Tunataka Vitendo.Papic anaiwazia Zamalek
ReplyDeleteDavid V