Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family, Said Fella akithibitisha kundi lake kutoa burudani katikia onesho hilo.

WASANII wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mwana FA, AY, Kundi la TMK Wanaume Family na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa pamoja wanatarajiwa kuangusha bonge la shoo siku ya Jumapili hii ndani ya Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam huko Mbagala.Akizungumza na wanahabari mchana huu, mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Juma Mbizo, alisema maandalizi yote kuhusiana na tamasha hilo yamekamilika.
Mwana FA akielezea jinsi atakavyofanya makamuzi ya nguvu.
Ambwene Yessayah ‘AY’ akiumwagia sifa ukumbi wa Dar Live ambao baada ya kuuona aligundua kuwa una hadhi ya kimataifa.
Chegge akielezea jinsi atakavyofunika katika shoo hiyo 'bab kubwa'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Dar mpaka Moro

    ReplyDelete
  2. sasa michuzi huo ukumbi upo wapi mbona hujatuwekea picha zake tuone au tunaambulia maelezo tu picha hakuna?

    ReplyDelete
  3. angalia macho ya jamaa! kachoma weed ki bob marley!

    ReplyDelete
  4. Duh bongo jua kali jamani...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...