Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. haki za wanyama hakuna Duniani Njoo Ulaya uone wanyama wamefungwa vifungo vya maisha ktk mazoo

    ReplyDelete
  2. haki ya nani michu utakuwa mtumiaji wa hii kitu!

    ReplyDelete
  3. Wapi hapa?Kama "mkoani" vile.

    Mama kulia anauliza bei wakati wanyama wanaumia,miguu;mikono.

    Hawa wanyama kwa sababu hawawezi kuwasiliana na sisi,basi sisi binadamu tunadhani ha kumbe hawaumii.

    David V

    ReplyDelete
  4. KATIBA MPYA!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. haya ndio maisha yetu ya kibongo uncle ,tusiige kila kitu wanachotuletea wazungu, haki zipi hizo za wanyama? tusiwale? au tufuge mbwa ndani?
    kama hana gari au uwezo atapeleka vipi kitoeo sokoni?
    kama haki ipo angalia mambo ya Sudan,wawekezaji wanachota mafua tu na wakati nchi hiyo hiyoo inafanyiwa harambee za kuwapa chakula, watoto wanakufa njaa,
    This things are really annoying me.haki haki , haki ipi hiyo,
    more than 600 years of slave trade ,and almost 100 years of colonialiasmus, wat.....
    wake up Africa!!!!!

    ReplyDelete
  6. Hata kama ni 'Al khinzir' ambaye ni haramu kwangu kumla lakini ni kiumbe na hakifai kuteswa namna hii.

    Huu ni unyanyasaji mkubwa wa wanyama.

    ReplyDelete
  7. kiti baridi

    ReplyDelete
  8. SIDHANI KAMA HUYU MTU ANA AKILI SAWASAWA AKILI YAKE NI SAWA NA NGURUWE ALIO WABEBA UWEZI KUFANYA HIVYO WALAU ANGEWAWEKA KWENYE BOX AU KITU FULANI

    ReplyDelete
  9. Mmmmmh! Hata kama kitimoto kwangu halamu ila hili limepitiza jamani.
    Wao pia wana damu, moyo machozi na hisia kama sisi.
    Hata kama unakwenda kumchinja basi mpe raha angalau katika siku zake za mwisho

    ReplyDelete
  10. Huyu anawapeleka wapi wenziwe

    ReplyDelete
  11. kweli nguruwe ni haramu ila huyu kazidi hata mimi nimesononeka, atafutwe na njia ya kumpata hicho kibao cha matangazo hapo kina namba za simu apigiwe huyo asem hapo ni wapi na watampata huyo kijana inawezekana ni mchezo wake, na akishapatikana afungwe na yeye kama huyo nguruwe japokuwa kisafari kifupi tu aone uchungu wake then wamwachie nadhani hatarudia

    ReplyDelete
  12. woe mliotoa lawama kwa kitoweo kuchukuliwa kwenye basikeli aidha mko mtoni na kama haitoshi ,mnajifanya wazungu eti tayari mshazisahau njia zetu za usafiri, mama mja mzito anabebwa kwenye basikeli hiyo hiyo breki mguu na anakwenda kujifungua , anafika salama na anajifungua salama na mtoto anakwenda USA kuchukua PHD, nyie jifanyeni eti sasa hamzijui shida zenu za asilia, na leo mnatafuta haki ya nguruwe, huku mliko nguruwe anachomwa sindano za ukimwi ili wamuone namna gani anavyodhoofika na kufa , HAKI hiyoooo > Zebedayo.

    ReplyDelete
  13. Mimi nadhani haki ya wanyama iwe kwa wale tu ambao hawaliwi. Kwa sababu hata kama angewabeba kwa kuwakumbatia kama watoto lakini huko anapowapeleka wanaenda kuuawa kikatili kwa kupigwa rungu

    ReplyDelete
  14. Watu wengine bwana.. Nguruwe Haramu.. haramu haramu..
    Mnafikiri huku duniani mko waisalam tu... Acheni Upuuzi wenu...
    That thing is blessed bwana.. ni TAMU mno...
    natamani wangekuwa ni wengi kama hewa tunayoivuta kila siku kitu moto..
    Pale DOHA inauzwa kilo kama tzs 25000 hivi.. kwa siku wanauza tani 40... alafu mnatudanganya haramu...

    ReplyDelete
  15. wewe mchangiaji ninaekufuata, sio waarabu wote ni waislamu, acha ujinga. ukristo ulianzia uarabuni for your information. Wazungu walipoutaifisha wakaubadilisha kabisa. Waarabu ni wakristo wa mwanzo kabla ya wazungu. Na nguruwe alikuwa haramu. Lakini kwa mzungu ukimwambia nguruwe haramu watakufa maana ndio nyama yao, watakula nini ndio wakaamua kuihalisha.

    ReplyDelete
  16. Huyo kambeba huyo mnyama jinsi hiyo kwa sababu viongozi wake hawamhurumii hata kidogo (mikataba mibovu n.k). Sasa yeye atapata wapi huruma kwa mnyama anayempa pesa. Mambo yanaanzia juu kushuka chini bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...