Home
Unlabelled
Watu wa haki za wanyama mnaona hii??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haki za wanyama hakuna Duniani Njoo Ulaya uone wanyama wamefungwa vifungo vya maisha ktk mazoo
ReplyDeletehaki ya nani michu utakuwa mtumiaji wa hii kitu!
ReplyDeleteWapi hapa?Kama "mkoani" vile.
ReplyDeleteMama kulia anauliza bei wakati wanyama wanaumia,miguu;mikono.
Hawa wanyama kwa sababu hawawezi kuwasiliana na sisi,basi sisi binadamu tunadhani ha kumbe hawaumii.
David V
KATIBA MPYA!!!!!!!
ReplyDeletehaya ndio maisha yetu ya kibongo uncle ,tusiige kila kitu wanachotuletea wazungu, haki zipi hizo za wanyama? tusiwale? au tufuge mbwa ndani?
ReplyDeletekama hana gari au uwezo atapeleka vipi kitoeo sokoni?
kama haki ipo angalia mambo ya Sudan,wawekezaji wanachota mafua tu na wakati nchi hiyo hiyoo inafanyiwa harambee za kuwapa chakula, watoto wanakufa njaa,
This things are really annoying me.haki haki , haki ipi hiyo,
more than 600 years of slave trade ,and almost 100 years of colonialiasmus, wat.....
wake up Africa!!!!!
Hata kama ni 'Al khinzir' ambaye ni haramu kwangu kumla lakini ni kiumbe na hakifai kuteswa namna hii.
ReplyDeleteHuu ni unyanyasaji mkubwa wa wanyama.
kiti baridi
ReplyDeleteSIDHANI KAMA HUYU MTU ANA AKILI SAWASAWA AKILI YAKE NI SAWA NA NGURUWE ALIO WABEBA UWEZI KUFANYA HIVYO WALAU ANGEWAWEKA KWENYE BOX AU KITU FULANI
ReplyDeleteMmmmmh! Hata kama kitimoto kwangu halamu ila hili limepitiza jamani.
ReplyDeleteWao pia wana damu, moyo machozi na hisia kama sisi.
Hata kama unakwenda kumchinja basi mpe raha angalau katika siku zake za mwisho
Huyu anawapeleka wapi wenziwe
ReplyDeletekweli nguruwe ni haramu ila huyu kazidi hata mimi nimesononeka, atafutwe na njia ya kumpata hicho kibao cha matangazo hapo kina namba za simu apigiwe huyo asem hapo ni wapi na watampata huyo kijana inawezekana ni mchezo wake, na akishapatikana afungwe na yeye kama huyo nguruwe japokuwa kisafari kifupi tu aone uchungu wake then wamwachie nadhani hatarudia
ReplyDeletewoe mliotoa lawama kwa kitoweo kuchukuliwa kwenye basikeli aidha mko mtoni na kama haitoshi ,mnajifanya wazungu eti tayari mshazisahau njia zetu za usafiri, mama mja mzito anabebwa kwenye basikeli hiyo hiyo breki mguu na anakwenda kujifungua , anafika salama na anajifungua salama na mtoto anakwenda USA kuchukua PHD, nyie jifanyeni eti sasa hamzijui shida zenu za asilia, na leo mnatafuta haki ya nguruwe, huku mliko nguruwe anachomwa sindano za ukimwi ili wamuone namna gani anavyodhoofika na kufa , HAKI hiyoooo > Zebedayo.
ReplyDeleteMimi nadhani haki ya wanyama iwe kwa wale tu ambao hawaliwi. Kwa sababu hata kama angewabeba kwa kuwakumbatia kama watoto lakini huko anapowapeleka wanaenda kuuawa kikatili kwa kupigwa rungu
ReplyDeleteWatu wengine bwana.. Nguruwe Haramu.. haramu haramu..
ReplyDeleteMnafikiri huku duniani mko waisalam tu... Acheni Upuuzi wenu...
That thing is blessed bwana.. ni TAMU mno...
natamani wangekuwa ni wengi kama hewa tunayoivuta kila siku kitu moto..
Pale DOHA inauzwa kilo kama tzs 25000 hivi.. kwa siku wanauza tani 40... alafu mnatudanganya haramu...
wewe mchangiaji ninaekufuata, sio waarabu wote ni waislamu, acha ujinga. ukristo ulianzia uarabuni for your information. Wazungu walipoutaifisha wakaubadilisha kabisa. Waarabu ni wakristo wa mwanzo kabla ya wazungu. Na nguruwe alikuwa haramu. Lakini kwa mzungu ukimwambia nguruwe haramu watakufa maana ndio nyama yao, watakula nini ndio wakaamua kuihalisha.
ReplyDeleteHuyo kambeba huyo mnyama jinsi hiyo kwa sababu viongozi wake hawamhurumii hata kidogo (mikataba mibovu n.k). Sasa yeye atapata wapi huruma kwa mnyama anayempa pesa. Mambo yanaanzia juu kushuka chini bwana.
ReplyDelete