Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Hajji Mponda akizungumza na waandishi wa habari waliofika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya matibabu kutoka MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani.
Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania,Klaus-Peter Brandes akifafanya jambo leo mbele ya waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya matibabu kutoka MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Afya,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Hajji Mponda.
Mwenyekiti wa Bodi ya MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani,Dkt. Karl-Ludwig Kley akionyesha kitabu cha hadithi ya mtoto aliepatwa na ugonjwa wa Kichocho wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya matibabu kutoka Shirika hilo la nchini Ujerumani,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Afya,jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Balozi wa Ujerumani Nchini,Klaus-Peter Brandes
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Hajji Mponda (kushoto) akipokea sehemu ya vifaa vya matibabu kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani,Dkt. Karl-Ludwig Kley.katikati ni Balozi wa Ujerumani Nchini,Klaus-Peter Brandes
Picha ya Pamoja.
Wazo binafsi.
ReplyDeleteNadhani wana habari wawe wafuatiliaji wa habari zaidi.Kwa mfano,aina ya chemicals,medicines(drugs) na apparatus(equipment) vilivyotolewa ili kama kuna wadau wenye weledi na nafasi zao kuweza kubaini kama donations hizo zina viwango,ni legitimate au zinakubaliwa na the International Drugs Regulatory Authority na siyo local Regulatory Authority.Ni vigumu kutaja donations zote,ila kwa kila category, sample mbili zinaweza kutolewa taarifa na majina yake,batch no,year of manufacture,year of expiry na were manufactured na marketing agent bila kusahau the product number and lot number on the label.
Nawasilisha!
Unamdai baba elfu kumi za kutumia shule na chai ya asubuhi inamshinda. Maskini kapata msamaria mwema ili upate chakula cha mchana, unamuuliza eti lazima baba aajiri kamati ya kuangalia huo msaada wa chakula kama kime expire au kimetoka ghala ya serikali au mpunga umevunwa lini. Give us a break, watanzania wamekufa wangapi na quinine na metakelfin ngapi feki zinazoliwa kila leo, eti unaambiwa za Kenya. Masikini jeuri.
ReplyDelete