Msanii Mkongwe wa bendi Kwongwe ya Msondo Ngoma Music,Muhidini Gurumo akiwa katika hospital ya Taifa Muhimbili, Dar es salaam jana, akipimwa mapigo ya Moyo na Ofisa Muuguzi Msaidizi wa Hospital hiyo,SuraiyaMohamed alipolazwa kufanyiwa uchunguzi wa kina toka mwishoni mwa wiki iliyopita
--
MWANAMUZIKI maarufu wa bendi kongwe ya Msondo ngoma, Muhidin Gurumo aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ugojwa wa shinikizo la damu anaendelea vizuri.
Akizungumza na Dar es Salaam jana,Msemaji wa bendi hiyo Rajabu Mhamila 'Super 'D' alisema Afya ya Gurumo inaendelea vizuri na wakati wowote anaweza kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo.
Alisema kuwa madaktari wanataka kuchukua vipimo vya mwisho kwa kina kujua kila kitu kinachop msumbua katika mwili wake.
"Kwa sasa tunashukuru Mungu afya ya Gurumo inaendelea vizuri tofauti na mara ya kwanza na akiendelea hivi anaweza hakurusiwa hivi karibuni"alisema Super D.
Hata hivyo aliwataka wapenzi wa bendi hiyo kumuombea duwa mwanamziki huyo ili apone upesi pia aliongeza kwa kusema maonesho yao ya wikii hii ni kama ifuatavyo Alhamisi watakuwa Mwandege Mkoa wa Pwani,Ijumaa watapiga katika viwanja vya Lidaz Clab jumamosi watakuwa katika viwanja vya TCC Sigara na Jumapili watamaliza wiki endi katika ukumbi wa Max Bar uliopo Ilala Bungoni alisema Super D.

Pole Kiongozi !
ReplyDeleteIsipokuwa 'Sigara kubwa' kwa sasa kwako kwa afya na umri wako huo haikufai, jitahidi kuyakabili majaribu ya kuendesha maisha bila matumizi fulani fulani,
Mwenyezi Mungu Inshallah atakusaidia, Amiiin.
Inshallah Maalim, Allah atakupa Tahfif.
ReplyDeleteIla ni muda muafaka wa kuzidisha Ibadat na kuacha 'matumizi matumizi' ya ziada!
Pole Mkuu,
ReplyDeleteLa muhimu ni kuacha 'sigara kali' na matumizi ya ziada vinavyochangia shiniko la damu na pia ni muhimu kufuata ushauri wa Dakitari!
Inshallah Mungu atakupa Nafuu!
ReplyDeleteKtk Maisha yetu ya Dunia hii wamepita Wanafalsafa wengi sana na Harakati zao wengine tungali nao na wengine wameshatangulia mbele za haki.
Kama hawa 10 hapa:
1-Martin Luther King: USA
2-Nelson Mandela : South Africa
3-Mahatma Gandhi : India
4-Julius K. Nyerere : Tanzania
5-Bob Marley : Jamaica
6-Kwame Nkrumah : Ghana
7-Malcolm X : USA
8-Patrice Lumumba : Congo DRC
9-Samora Machel : Mocambique
10-Vladimir Lenin : RUSSIA
Maisha yana Uchaguzi na Uwezekano, ni vigumu kufuata Itikadi ya kila Mwana Falsafa wa Dunia hivyo ni vema Sheikh ukachukua angalau kwa uchache Wanafalsafa 9 tu ukamwacha Mwanafalsafa No.5 Ambaye ni BOB MARLEY wa Jamaica na Itikadi zake!
Sheikh pole !
ReplyDeleteIla acha 'majani' utapata nafuu zaidi, Inshallah!
Utapata nafuu Mkubwa,
ReplyDeleteMajani pia ni dawa, ila wakati mwingine inakuwa 'majani ni sumu' yakizidi na huleta kuchangia maradhi kiafya!
Inshllah utapata nafuu,
ReplyDeletePole ndugu yetu ,Muziki ni kazi si tatizo sana ila ni muda sasa wa kuacha 'moshi mzito' na kurudi Msikitini
pole Bwana Mkubwa !
ReplyDeleteDalili za uhalisia zinatueleza kuwa Bangi ina ukomo wake kulinga na umri wa mtu muhusika.
Ni muhimu ''Kufikiria Dunia inavyokwenda'' ikiwa neno hili ni moja kati ya Vibao murua kabisa vya wana OTTU -MSONDO NGOMA.
Pole Mkubwa wetu,
ReplyDeleteUtapata nafuu kwa Uwezo wake Mola!
Mdau wa juu Anonymous Thu Mar 22, 06:25:00 PM 2012
''Fikiria Dunia inavyowenda'' naona kama ni kibAO cha wana Sikinde na sio OTTU au nimekosea?
Mkubwa wetu pole kwa kuumwa!
ReplyDeleteMola aliye Mkuu atakupa nafuu,
Wana Falsafa 10 umewataja Mdau hapo juu na Falsafa ni moja ya Tasnia zinazotupa faraja na dira ktk vipindi tofauti vya maisha yetu hasa ktk vipindi vizito kama ilivyokuwa kwa kuumwa kwake ndugu yetu hapa.
Umewasahau Wanafalsafa hawa:
1.Karl Marx : Ujerumani
2.Mao Tsetung: China
Pole Bwana Kaka!
ReplyDeleteMaradhi na kuugua ni Mipango ya Mwenyezi Mungu ktk maisha yetu sisi Binaadamu.
Zaidi ya hapo suala la mienendo binafsi ktk hulka za maisha yetu zizingatie umri tuliofikia.