Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa alipopokelewa na wananchi wa kijiji cha Nguruma, akitokea Mwanza na kuhutubia katika mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia chama hicho 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nguruma katika mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia chama hicho, Joshua Nassari (kulia) |
Katibu Mkuu wa Chama cha Demopkrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akikumbatiana na mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki kupitia chama hicho, Joshua Nassari, wakati wa mapokezi yake kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo. Picha na mdau Joseph Senga
Jamaaa huyu anakubalika sana
ReplyDeleteChadema,
ReplyDeleteArobaini (40) yenu inakaribia !
Subirini matokeo ya Uchaguzi ili pumzi ziwakatikie mtakaposikia
CCM!, CCM!, CCM!, !!!
Msije mkatafutana Chadema!
ReplyDeleteItakuwa aibu na Radio call zenu mikononi mtakapowekwa mikononi na wana wa Ras Makunjas KAMILI!!!...(hapo ndio itathibitika kuwa ninyi na Magwanda yenu ni Mgambo tu) hamtafurukuta kabisa huku Siyoi Sumari akiwa anatangazwa mshindi wa Uchaguzi!
Ngojeni matokeo ya Uchaguzi CDM,,,na radio zenu mikononi kamasi zitawashuka!
ReplyDeleteBaada ya kutangazwa Mshindi wa Kiti kutoka CCM ndio itajulikana kuwa hizo zenu ni radio call kweli au radio mbao!
ReplyDeleteHapo ndio mtaielewa CCM ndio nini.
ReplyDeleteWana Chadema Matokeo ya Uchaguzi yatawarudisha Kanisani kwenu!
Uzito wa Nyundo ya chuma na Ukali wa Jembe la chuma mtauona baada ya kura kuhesabiwa!
ReplyDeleteMtatafutana ubaya!
CDM mmekeuwa Mawakala wa usafirishaji wa mizigo?
ReplyDeleteHizo Radio call mpo ktk Logistics za Clearing and Forwarding?
Halo halo halo hapooo!!!,,,ova! , ova! ,ova! ,,,,unanisikia?
ReplyDelete(miruzi chwiiiiii,,,,kimya!)
Baada ya Mshindi kutangazwa:
Watatafutwa hewani washika Radio mawasiliano yatakuwa hayapatikani.
Mwisho wa siku mtakimbiana na Radio zenu mikononi!
Pale shindo la NYUNDO litakapotua juu ya V ya vidole vyenu viwili vikapondeka kama chapati ndio Chadema mtatambua na kutafutana!
ReplyDeleteGanzi sindano kwa ya kutoa maumivu haitasaidia kitu!
Itakuwa hapatoshi!
Siku ya Matokeo kutangazwa na kukutwa CDM mmebwagwa vibaya Radio call zenu zitakuwa nzito hazibebeki mikononi!
ReplyDeleteMnacheza na CCM ?
ReplyDeleteHayo Magwanda yenu yakatuwa mazito mwilini, mtakuwa kama Mgambo wa Jiji waliotimuliwa na Machinga wakorofi, mtakimbiana kwa aibu ya matokeo!
Mtapata matokeo kama namba za viatu ktk Vituo vya kura.
Unakuta mfano:
-Kituo cha Soko la Tengeru mnapata kura 8,
-Kituo cha Nguruma kura 7