Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
lazima nije kumuona malkia wa nyimbo za injili
ReplyDeletePastor Deo ni Mwalimu mzuri sana wa Neno la Mungu
ReplyDeletesasa JK anafanya nini hapo? Kwani nae atakuwepo au ndo kumgeuza tangazo!
ReplyDeleteNa Kikwete nae atakuwepo siku hiyo?
ReplyDeleteEleweni Wadau Anonymous wa Sat Mar 17, 06:16:00 PM 2012 na Anomous wa Mon Mar 19, 04:35:00 PM 2012.
ReplyDeleteJK ni Kiongozi wa watu wa Dini zote, pia Pastor Deo ni miongoni mwa Viongozi wachache wa Kidini wanaotufaa nchini Tanzania kwa kuwa na busara za hali ya juu na kutambua umuhimu wa Viongozi wa Kitaifa ktk masuala ya Uamsho wa Kiimani na Uzalendo !
Wewe wa tatu 3 hapo juu usietaka Pastor Deo amuweke JK ulitaka awekwe Dr. Slaa?
ReplyDeleteJK ni Kiongozi wa watu wote nchini wakiwemo Wakristo, Waislamu, watu wa Dini zingine zote na Wasio na Dini kabisaaa!
Swali lako ni la kipumbavu sana na linaashiria Utenganishi na Uchochezi!
Ninyi ndio Watu wachache wa Tanzania wabaya wakuogopwa na hatari sana ! Wachochezi wa mgawanyiko miongoni mwetu kwa Misingi ya Udini.
Sasa wewe na Pasor Deo nani anaelewa Dini zaidi?