Mkuu wa mkoa wa pemba Mh Juma kassim Tindwa ( katikati mwenye suti nyeupe) akiwa katika picha ya pamoja  na  ujumbe wa bodi ya Mfuko wa maendeleo ya jamii ulio chini ya ofisi ya Rais (TASAF) ulipomtembelea ofisini kwake nakumfahamisha kazi wanayo ifanya kisiwani hapo
Bi Hadiya Mwinyi Suedi akipiga ngoma huku akiongoza kikundi cha Msondo  kuburudisha  ujumbe wa bodi ya TASAF  pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo walipofika katika kisiwa cha Pemba kwa ajili ya kukagua miradi inayo dhaminiwa na TASAF  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. samahani muandishi kwa kusema pemba mkoa pemba ina mikoa miliwi wa kusini pemba na kaskazini pemba tunaomba uweke sawa maandishi yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...