WASANII Izzo Buzness, Young D, Godzilla, Bendi ya Akudo Impact, Jahazi Modern Taarab na Wakali Dancers jana Jumapili walifunika vilivyo katika tamasha lililofanyika ndani ya Ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
dar live mbagala kunazidi kunoga!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...