Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto)akijumuika na Viongozi na Waislamu wengine kumswalia Marehemu Salum Amour Mtondoo,aliyekuwa Mwakilishi wa CCM Jimbo la Bububu Mkoa Mjini Magharibi Unguja,katika msikiti wa Ijumaa Bububu ,Marehemu amezikwa leo Kijijini kwao Bumbwini Kaskazini B.
Maelfu ya wananchi na waislamu wa Zanzibar walishiriki kuubeba mwili wa marehemu Salum Amour Mtondoo,aliyekuwa Mwakilishi wa CCM Jimbo la Bububu Mkoa Mjini Magharibi Unguja,na kuzikwa Kijijini kwao Bumbwini Kaskazini B
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Salum Amour Mtondoo, aliyekuwa Mwakilishi wa CCM Jimbo la Bububu Mkoa Mjini Magharibi Unguja,huko kijijini kwao Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia)akijumuika na Viongozi na Waislamu wengine katika mazishi ya aliyekuwa Mwakilishi wa CCM Jimbo la Bububu Mkoa Mjini Magharibi Unguja,Marehemu Salum Amour Mtondoo,aliyezikwa jana Kijijini kwao Bumbwini Kaskazini B.Picha na Ramadhan Othman IKULU - Zanzibar.
Mungu Amlaze mahali pema peponi (amin)Lakini haya mambo ya ukerekerwa hadi kwenye mazishi hayafai kitakachomsaidia ni amali zake na Mungu amsameh makosa yake.
ReplyDeleteSaid na Omar amesema ( aliye hai ni bora zaidi kwa mtu kuliko maiti) kwa hiyo mambo ya mabendera yeye hana habari nayo amali yake tu