Wanahabari wakimsubiri Naibu Waziri wa Ujenzi Dkt Harrison Mwakyembe alipoti kazini kwake mtaa wa Samora Avenue jijini Dar es salaam baada ya kupata nafuu kutokana na maradhi ya ngozi yaliyomkuba miezi kadhaa iliyopita
Dkt Mwakyembe akiwasili kazini leo
Dkt Mwakyembe akiingia ofisini kwake
anawsili ofisini
Dkt Mwakyembe akiongea na wanahabari baada ya kuripoti kazini. Amewasihi kuwa mjadala wa matatizo yake ya kiafya sasa umefungwa
Sawa Mhe. amepata nafuu na amerejea Ofisini kwake, lakini je pana uhakika gani kama hayatatokea tena yaliyomtokea hapo kabla?
ReplyDeletePole kwa matatizo Mhe. Natumaini watu wenye busara watakuelewa: tuendelee mbele tuache ujinga wa kutafuta mchawi. Uwe mwangalifu lakini chapa kazi kama kawaida yako na mafisadi hawatakuweza : Kamam Mungu akiwa juu yet ni nani atakayemshinda!.
ReplyDeleteYaliyojiri ni ufafanuzi tosha jinsi Mafisadi walivyokuwa na nguvu nchini!
ReplyDeleteMungu akujalie afya njema, akuridishe katika afya, akili na kipaji zaidi ya mwanzo, ututee sisi Watanzania wanyonge tunaoonewa kwa mali zetu wenyewe. Amen
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania.
Ndiyo maana napenda bongo... mwanamme mzima kabeba simu ya pinki. Duh...
ReplyDeletePole Mhe. Mwakyembe!
ReplyDeleteIla watu wabaya wamekuzeesha kwa miaka 20 zaidi ya Umri wako halisi, ina maana hivi ulivyokuwa baada ya kupatwa na mkasa huu ulitakiwa ndio uwe hivyo miaka 20 ijayo!
Mungu ni Mwema atakulinda!