Wanafunzi Wa Chuo Kikkuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa kwenye foleni tayari kwenda kusaini Pesa ya Kujikimu leo Asubuhi.Zoezi ambalo lilianza mapema Jumamosi iliyopita.
 Haya sasa Wanafunzi wa Udom Hao wakiwa kwenye foleni tayari kwa kusaini boom.
 Wengine wakiwa kwenye foleni huku wengine wakiwa katika majadiliano mazito kuhusu boom.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwani hawana akaunti benki? Mbona unawadhalilisha namna hiyo? Au washika fedha wanataka kufanya vitu vyao?

    ReplyDelete
  2. Yaani kweli level ya University wanafunzi badala ya kuwa madarasani wameunga foleni ya kukusanya pesa? Kwani mliona shida gani kufanya direct payment kwenye account zao? Au ndo mnavyopata kula yenu siyo? Hebu acheni uhuni. This is a wastage of time and resources za kodi zetu. Mdau-NYC, USA

    ReplyDelete
  3. Wewe mdau wa NYC unaonekana kabisa huna makaratasi na matokeo yake hujui kabisa mambo ya nyumbani na USA. Kuweka hela benki hakurahisishi mambo kama hawatapanga foleni hapo wataenda kupanga foleni benki na mbaya zaidi benki itabidi walipie kuchukua hizo hela kwenye ATM au kwa teller. Hela hizi Marekani ni kama federal Loans kuonyesha kwamba huna makaratasi federal Loans huchukuli benki, unachukulia kwa bursar kama hapa bongo tu. Na kwa taarifa yako vyuo vingi kuna foleni tu kama bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...