Siku ya Jumatatu tarehe 19 March 2012, Jopo la Udaktari la Chuo Kikuu cha ISS/Erasmus University, Netherlands, lilimtunukia mdau Donard Mmari Nondozzzzz  ya Uzamivu  (PhD ) katika masuala ya tafiti za kiuchumi, baada ya kutetea utafiti wake katika "Institutional Innovations and Competitiveness of Smallholders in Tanzania" 
 Dr Mmari akiwa anatetea tafiti yake mbele ya jopo la Udaktari la ISS University kabla ya kulambishwa nondozzz yake. 
Hapa akifurhia baada ya kulamba nondozzzz yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka Mmar ....Hongera SANA kwa kazi kubwa sana uliopitisha kaka i wish hama ningekuwa hapo udachini nikawa na wewe pamoja katika kusherehekea siku hii hata hivyo, nakusubiria hapa mikocheni, niko na said tunakusubiria kwa hamu sana tu

    ReplyDelete
  2. Hongera sana uncle Dr. Donald Mmari. Nimefurahi kuona neema ya Mungu ilivyokufikisha hapo Dr. Nawatakia furaha na amani katika rare achievement hii wewe na familia.

    Mungu akujalie upate pia Ph.D. inayodumu hata baada ya kufa yaani Pull heavens Down. Hii uncle ni kwa kumpa Yesu maisha ukiwa duniani halafu graduation mbinguni kwenye high-table na Mungu!

    ReplyDelete
  3. Congratulation!

    Rudi bongo tusaidiane kurekebisha uchumi wa nchi yetu maana takwimu zinaonesha uchumi wa nchi unakuwa ili hali level ya umaskini wa watu wake inakatisha tamaa kabisa.

    ReplyDelete
  4. congratulations Dr. Mmari, we are proud of you and your family

    ReplyDelete
  5. Hongera SAAAAANA!!!

    Mtunukiwa Shahada Dr. Donald Mmari tafadhali rejea nyumbani haraka uje kuongeza nguvu kama unavyosikia wiki iliyopita IMF (Mshauri wetu wa Mashaka mashaka wa Kiuchumi) alivyokuwa anatoa tamko akiwa na Prof. Ndulu (Gavana) kuwa 'Uchumi wetu umekulia gizani' kwa kuwa wewe ni Mchagga uje ututengulie undani wa Mazingaombwe haya ya mtani wako wa Kisukuma!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...