Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma,Bw. Said Mbweche kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni (mwenye suti nyeusi) akizungumza machache kabla ya kuanza kutoa zawadi wa washindi mbali mbali wa Mashindano hayo yaliyofanyika leo na kufana sana kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni.Wengine Pichani ni wakuu wa idara ya Masoko ya TBL,Majaji wa Mashindano hayo (mwenye mavazi meupe) pamoja na Wadau wa Safari Lager.

Muwakilishi wa Bar ya Kisuma ambao ndio Washindi wa Kwanza wa Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma jijini Dar es Salaam,Bw. Kavishe akipokea zawadi yake ya fedha taslim kiasi cha sh. Mil. 1 kutoka kwa Mgeni Rasmi,Bw. Said Mbweche.
Nyama ikiwa jikoni.
Nyama ikiandaliwa tayari kwa kwenda kwa wateja waliohudhulia fainali hizo za Safari Lager Nyama Choma.
Nyama ikiendele kuiva jikoni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...