Waimbaji wa nyimbo za Injili Florah Mbasha na Emmanuel Mbasha Kutoka Tanzania watakuwa wageni katika Kanisa Africa Lighthouse Baptist Temple, Charlottesville, Virginia Jumapili March 25, 2012. Florah na Emmanuel watamtukuza Mungu kwa nyimbo. Ibada yetu itaanza saa Nne Asubuhi. Karibuni Wote tuje tumtukuze Mungu wetu.
Home
Unlabelled
flora mbasha live ndani ya virginia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...