Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga akitoa hotuba kwenye Warsha ya wadau wanaohusika na masuala ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi sambamba na kuondoa umasikini.Imeandaliwa na Benki ya Dunia na ushirikiano wa TASAF Imefanyika jijini  Machi 20.2012.
 washiriki wakipiga makofi baada ya kumalizika kwa hotuba ya mgeni rasmi
 Msimamizi wa mafunzo, utafiti na Ushiriki kutoka TASAF Makao Mkuu Amedeus Kamagenge akiongea katika warsha leo jijini Dar es
  wadau wakiwa na wakufunzi wakishirikana katia mazoezi kwa vitendo
 wadau wakifuatilia warsha
 wanafanya tahmini kilia mmoja jinsi alivyoelewa mafunzo ya warsha
 Mwakilishi wa Benki ya Dunia anaeshughulikia masuala ya maendeleo ya jamii Rasmus Heltberg akitoa ufafanuzi
kwa pamoja wanafanya mazoezi kwa vitendo. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...