Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. sasa huyu anwapeleka wapi wenziwe katika hali kama hiyo wakichupa ?

    ReplyDelete
  2. Acha kuchekesha watu, toka lini Tanzania kukawa na utaratibu? Sie tunaishi dunia ya tatu tumezoea shida mpaka na wanyama wetu pia wanatunzwa kihivyo kwa hiyo msijiulize maswali yasiyojibika.

    ReplyDelete
  3. Unajua hapa barazani kuna tabia za kutafutana undani! Sasa swali linaulizwa hapa?utaratibu wa kuwasafirisha wanyama hawa ukoje? JIBU ANALO DREVA NA SI MWINGINE NI MJENGWA,au Buti Jiwe,
    Gari hili linaonyesha wazi kabisa linakwenda kwa watani zetu Iringa na Pasaka ndio hiyo ipo mlangoni

    ReplyDelete
  4. Wana helmeti za midomoni kusaidia wasishambulie watu wakati wanasafirishwa.

    ReplyDelete
  5. Hivi hawa nao wanapatikana machinjio ya vingunguti?

    ReplyDelete
  6. Huyo jamaa atakuwa ni wakutoka Iringa a.k.a kamwene (Mnyalu).

    Kazi kweli kweliii....!!!!!

    ReplyDelete
  7. Hawa wanapatikana machinjio ya Iringa. Na hapa mboga ya pasaka imepakiwa kupelekwa Iringa.

    ReplyDelete
  8. Hamna uraratibu wowote Bongo. Ni bora liende tu.....

    ReplyDelete
  9. HAO MBWA HAWANA MENO JAMANI MSIOGOPE USWAZI TUNAWAPA MAJINA KAMA BOBBY WENGINE MALIZIENI. SHIKA SHIKA SHIKA UNASAKIZIA HAPO.

    ReplyDelete
  10. Walitakiwa kuwa na 'Vifuniko vya Midomo' ndio taratibu za Polisi kwa Ulinzi wa kutumia mbwa wakati wakipelekwa Lindoni.

    Sasa hapo mfano pana foleni gari zimeshikana na wewe mpita kwa miguu ukikatiza ubavuni mwa Pick up imekula kwako breki ya kwanza polisi kupata PF-3 halafu Hospitali kushonwa nyuzi!

    ReplyDelete
  11. Kwa picha inavyoonyesha hao mbwa watiifu mno, wala haina haja ya kuwabana na wao wasi-enjoy usafiri.

    Mwenye hao majibwa inaelekea ana iksipiriansi nao sana, mimi namshauri afungue kituo cha mafunzo ya majibwa!!

    ReplyDelete
  12. KUna trafiki mmoja dar es salaam pale salenda aling'antwa akiongoza magari. Cheo chake cha ukoplo ndicho kilichoanza kung'atwa. Kesi ikapelekwa mahakamani. Aliumizwa. Sijui uamuzi wa kesi ulikuwa vipi.

    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...