You asked the questions, and President Obama answered in the first-ever completely virtual interview from the White House, presented by YouTube and Google+.
Participants (from left to right):
Steve Grove
Jennifer Wedel
Paras Patel
Ramon Ray
Adam Clark
Participants (from left to right):
Steve Grove
Jennifer Wedel
Paras Patel
Ramon Ray
Adam Clark
Ooops! Very interesting; natamani na Rais wetu pia angekuwa na utaratibu kama huo, inapendeza sana. Big up! Obama.
ReplyDeleteHakuna tofauti na utaratibu aliokuwa nao Rais Mwinyi wa kukutana na wananchi pale ofisi za CCM, barabara ya Lumumba, Dar.
ReplyDeleteVIONGOZI WA AFRICA HAWAPENDI KABISA TECHNOLOGY ITAWAUMBUA
ReplyDeleteWHO CARES!
ReplyDeleteEXCELLENT!!!!!!!
ReplyDeletewacheni kuchonga na kuosha vinywa ikiwa hamfatilii habari
ReplyDeletemh.rais wetu kikwete amefanya mengi kushinda hayo acheni mambo ya utumwa mambo leo na kusifia vya watu mnaanza kunichafua sasa
kama kweli mnafatilia habari mh rais wetu alifanya interview mpaka kwa njia ya msg za simu yani unatuma ujumbe kwa simu anasomewa na kujibu hapohapo sasa mnataka nini tena?
its cool,
ReplyDeleteGreat
ReplyDelete