Mshambuliaji wa timu ya soka ya Free Media, Saleh Mohamed akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Jambo Leo, Julius Kihampa katika kombe la NSSF Cup 2012 uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar. Jambo leo ilishinda bao 8-1
Mshambuliaji wa Jambo Leo, Juma Pinto akichuana na beki wa Free Media, Festo Mswima wakati wa mchezo wa kombe la NSSF Cup 2012.
Mchezaji Martin Malela wa Free Media, akishangilia bao la kufutia machozi alilofunga dhidi ya magoli 8 waliyofungwa na Jambo Leo.

Mchezaji Martin Malela wa Free Media, akishangilia bao la kufutia machozi alilofunga dhidi ya magoli 8 waliyofungwa na Jambo Leo.
Mfungaji wa timu ya Netiboli ya NSSF (GS), Sia Mawole akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa IPP (GK), Fatuma Yusufu wakati wa mchuano wao wa kombe la NSSF Cup 2012. NSSF ilishinda kwa bao 20-4.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...