Home
Unlabelled
mkwara dume kwa wadau neshno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huu ni mkwara jike sio dume. lugha iliyotumika sio kali wala haioneshi kuwa atakayeharibu rasilimali atakiona cha mtema kuni. inaonesha kama vile unashauriwa tu kuwa MZALENDO.
ReplyDeletehakuna utamaduniwa kuheshimu sheria ndio maana porojo tu.
ReplyDeletesheria zipo, na adhabu kali zitolewe kwa wavunjaji, ndio dawa. ka ulaya hakuna kubembelezana, mtu akivunja sheria atajuta mwenyewe.
sisi tunadekezana ndo maana maendeleo duni.
Hivi Kamera zilizowekwa Umanjani hapo zina kazi gani?
ReplyDeleteCha muhimu ni kuzitumia Kamera hizo kwa kuwapata wajinga hao na kuwafikisha ktk Sheria!
heri mimi sijasema
ReplyDelete