Mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari akiagana na wananchiwa mji wa Kikatiti mara baada ya mkutano wake wa kampeni leo
Mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari akiwaaga wananchi wa mji wa Kikatiti baada ya kumaliza mkutanowake wa kampeni leo. |
Mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari na Meneja kampeni wake, Vincent Nyerere, wakiwapungia mikono wananchi wa mji wa Kikatiti, mara baada ya mkutano wa kampeni leo
Mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Vumilia wakati wa ibada ya mazishi ya mama huyo katika jimbo hilo leo. Picha na mdau Joseph Senga
Mtu wa watu. Actions speak louder than words!
ReplyDeletemmmhhhh...
ReplyDeleteJoshua Nasari:
ReplyDeleteHivi yeye ni Padri au Mtumishi wa Kanisa?
Mbona anaelekea kuegemea Dini moja tu wakati Arumeru Mashariki ina watu wa Itikadi tofauti za Kisiasa pia ina watu wa Dini zote wakiwemo wasio na Dini kabisaaa!!!
Mgombea wa Chadema J. Nassari unataka kutueleza ya kuwa Arumeru Mashariki ni eneo la Wakristo pekee?
ReplyDeleteNi mara zaidi ya moja umeonekana ktk shughuli za Kikristo tu Arumeru mbona Katibu Mkuu wa chama chako Taifa Dr. Slaa alihudhuria Sherehe za Maulid ya Waislamu Kinondoni mwezi ulipoita?
Hiyo ndio Siasa ya usawa na haki?
Au hutaki kura zetu Waislamu Arumeru Mashariki?