KATIBU Mkuu ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Dk. Omar Dadi Shajak akionesha ripoti ya utafiti wa hali ya utendaji wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Zanzibar muda mfupi baada ya kuizindua ripoti hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani,kulia Meneja wa Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar, Suleiman Seif
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, Dk. Omar Dadi Shajak akizinduwa Ripoti ya Utafiti wa Hali ya Utendaji wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.Picha na Haroub Hussein
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...