MwanaFA is without a doubt,one of the MCs in Bongo who can actually talk the talk. The dude can elaborate very well his points let alone how he shines in the lyrics he crafts. It is probably a no brainer to learn that this gent holds a Masters Degree from Coventry University. Hamis Mwinjuma(real name) who hails from Tanga, made a special appearance on Mkasi Tv hosted by Salama Jabir. The shooting, as usual, happened at Amaya Beauty Salon & Spa at the heart of Dar-es-salaam. Here is how it went down incase you missed it on East Africa Television.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mbona umetoa taarifa nusu nusu?

    Ana first degree? Na ni ya fani gani?

    Na hiyo Masters degree ni ya fani gani? Au ameruka tu from ???? to Masters?

    ReplyDelete
  2. wabongo kwa kuiga jamani!!!sasa goves mnavaa za nini wakati joto ni +25-30????

    ReplyDelete
  3. ACHENI USHAMBA WENU NINYI , HIO GLOVE ULIOVAA WEWE BWANA KINYOZI INA MAANA GANI AU WINTER TAYARI IMEEANZA BONGO? BASI MAMBO MSWANO KAMA NIHIVYO, SISI HUKU YAYARI IMESHAKUWA +7 NA GLOVES TAYARI TUMISHA SAHAU AU HAPO KIYOYOZI KIMELTA SHESHE MPAKA WATU WAVAE HIVYO , HALAFU UMESAHAU KITU, UNGEVAA NA JACKET LA HIP HOP LA WINTER YA WASHINGTON NDIO TUNGEKUBALI .
    ACHA USHAMBA WAKO ! NA WEWE NDUGU MWANA FA HIO MASTER UMESOMEA WAPI? AU KOKO BEACH KULA CHIPS MDEBWEDO ? TAUMBIE TUJUE, SISI TUSIO JUA

    ReplyDelete
  4. nimekapenda hako kakatuni, umetumia program gani kukatengeneza?

    Mkulima toka Tanga

    ReplyDelete
  5. Najua kiingereza sio lugha yetu ila mtu unapoamua kukitumia kwa watu ambao wangekuelewa kirahisi kwa kiswahili, basi tumia maneno unayoelewa maana yake usijekuta umemshusha mtu pale ulipokudsudia kumpandisha.

    ..one of the mc's who can "talk the talk?" !!!!

    ReplyDelete
  6. Ulimaanisha "walk the talk" au "talk the talk"?

    talk the talk means idle boasting! Maneno mengi matendo hakuna!

    walk the talk means you can practice ("walk") what you preach ("talk").

    ReplyDelete
  7. kwa msiojua mwenzenu alikuja hapa UK na akasoma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...