Hilo banda la ghorofa hapa kwetu Zenj tunaita (roshani) limeshazeeka na liko hali mbaya, wakati wa upepo hayo makuti, mbao zilizotumika kulijengea na mambati hupeperuka na kuangua chini, hebu fikiria watoto na wenye nyumba hiyo hapo jirani,watakuwa wapo katika hali gani, mama mkaazi wa mtaa huu wa Bwejuu umangani lilipo banda hili anasema hana amani hata kidogo na hali hii iliyosababishwa na wenye chao wako wapi viongozi au tunasubiri hadi liangukie hii nyumba tuje kuwalaumu kikosi cha uonokozi wamechelewa kuja kuokoa majeruhi??????
huu ni ufukwe wa bahari nzuri ya Bwejuu lakini sasa si ufukwe tena bali ni jalala lenye uvundo na harufu mbaya, wananchi wanapaswa wasitupe taka hapa na badala yake wawekewe jalala la kutupia taka ili ufukwe ulete haiba yake.
Mjomba Michuzi
ReplyDeleteKuna tabia moja ya jamaa zangu inanikera sana. Hawataki kufanya kitu kujisaidia wenyewe. Wadai kwa vifijo na makelele kutaka mtu mwingine au serikali iwafanyie hiki na hiki.Mfano hapo juu, jamaa azungumza hali ya uchafu hapo Bwejuu, kwa nini hawaombi wakazi wenzake wajifunge vibwebwe na kasafisha sehemu zote hizo na kuchoma moto hizo takataka.48 years ago me and a group of doctors from the then called Lenin hospital stayed there for a weekend picnic.Wanavijiji walikuja hapo pwani na kutuletea mayai na samaki and made us feel at home. Give them my thanks
Ustaadh vp tena yakhee?
ReplyDeleteMatatizo madogo madogo kama hayo pia unataka wafadhili kutoka ulaya?
Waweza kujitolea tu kuyarekebisha Amii.. si mpaka uyaanike huku mitandaoni.
sijui siku hizi kama watu wa east cost ya zenjy wamestaharabika, zamni pwani ndiyo chooni kwao, kiza kikianza kuingia unaona watu jinsi walivyoinama tu pwani, kuanzia jambiani, paje na bwejuu, hicho kighorofa ni cha rasta kwenda juu kucheck bahari na kupata cha arusha, asante kwa picha umenikumbusha mbali
ReplyDeletekwani zaidi zinazotembea duniani kinyesi na maji ya uchafu watupia wapi sio baharini? Hebu tuelewesheni.
ReplyDeleteZenji Tambarale,,,,ukisikia ndio hiyo!
ReplyDeleteSasa hiyo ni ghrorofa au Dungu la kulinida mpunga shambani usiliwe na ndege?
lol! kero za Muungano hizo!!
ReplyDeleteHi hi hi ni kweli -kero za muungano-hili pia lijadiliwe-ok Mtoa mada hajakosea yeye ni mpita njia tu A kama utasoma maelezo yake,
ReplyDeletelakini wale wabunge wawakilishi na masheha wako wapi? HIVI HII SI RASILIMALI HII YA KUJENGA BONGE LA HOTELI LA KITALII? BAHARI WENZAO WANAITAFUTA WAO WANAIWACHA HIVI HIVI AU SERIKALI INAUZA BEI GHALI?
Wanzanzibari acheni Umwinyi Uchumi mnao isipokuwa mmeukalia!
ReplyDeleteSasa nini tena Muungano unaingia vipi hapo?
Msilete ujinga wa kusema ahhh mimi nimejaaliwa kuwa Masikini tu, kila kitu siwezi,,,''UKWELI HIYO NI KUFURU HAKUNA ALIYEJAALIWA KUWA MASIKINI, MUNGU AMEJAALIA KILA MTU NA RASILIMALI ISIPOKUWA NI WEWE UKASHINDWA KUJITAMBUA.
Acheni kufunga Misuli viunoni na kushinda mnacheza Bao kutwa ,wavivu wazembe, halafu kila kitu mnataka mfanyiwe na Serikali!
Ninyi Wazanzibari Uzembe wenu wa kujituma kimaisha mnakuja kuulaumu Muungano?
ReplyDeleteKwanza mngejua mpo ktk Neema na Muungano unawatoa sana tu kimaisha msinge chonga kiasi hiki.
TATIZO LENU NI UMWINYI, UGOIGOI NA UZEMBE WA KAZI NDIO CHANZO CHA UMASIKINI HUO, MBONA WENZENU WANAOJITUMA HUKU BARA WANA PESA NA MIPANGO,,,KWISHA KAZI!
WAZANZIBARI:
ReplyDeleteMnapojadili na kutafakari shida zenu msiingize kitu Muungano kwa sababu hizi:
-----------------------------------
FAIDA ZA MUUNGANO:
-----------------------------------
1.MNAPATA ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI KWA KUWA HURU KUFANYA SHUGHULI ZENU MIKOA YOTE ZAIDI 25 YA BARA.
2.HAMSUMBULIWI KWA PASIPOTI WALA VIBALI VYA UHAMIAJI.
3.MNAPATA NAFASI YA KUOA BARA NA KUHUDUMIWA NA WANAWAKE WACHAPA KAZI WANAOPIKA NA KUFUA WAKATI KWENU VISIWANI WANAWAKE HAWAFUI WALA KWENDA SOKONI.
-----------------------------------
HASARA ZA MUUNGANO:
-----------------------------------
1.HAMPATI NAFASI YA KUKWEPA KODI NA KUGHUSHI KTK BIASHARA MAANA MMEBANWA NA MAMLAKA.
2.UGAWANAJI WA NAFASI KTK MUUNGANO UNAENDA KWA USAWA KULINGANA NA MGAWANYIKO, MNAONA HAMTENDEWI HAKI WAKATI NINYI NDIO MNAFAIDIKA ZAIDI.
3.MMEZOEA KUPATA MAMBO KIRAHISI RAHISI, WAVIVU, HAMJITUMI MNACHAGUA SANA KAZI,MNAPENDA KUFANYIWA KILA KITU, MNAPENDA SANA KUTUMIA UNDUGU BADALA YA KUFUATA TARATIBU ZA MAMBO.
HAMPATI NAFASI YA KUFANYA HUJUMA KWA VILE TUMECHANGANYIKA KTK KADA ZOTE, SIASA ,BIASHARA NA UTAWALA.
----------------------------------
YATAKAYOWAPATA BAADA YA MUUNGANO KUVUNJIKA:
-----------------------------------
1.NAFASI YENU YA UWEKEZAJI KTK BARA ITABANWA KWA VILE MTAKUWA SIO RAIA WA BARA.
2.ITABIDI MUWE NA PASIPOTI ZENU NA MUINGIE BARA KWA VISA ,HUKU MKIHITAJIKA KUWA NA VIBALI VYA UHAMIAJI KWA WATAKAO TAKA KUFANYA SHUGHULI ZA KUDUMU BARA.
3.NAFASI YA KUOA WANAWAKE BARA ITABANWA WANAWAKE WATAKUWA KWA AJILI YA WATU WA BARA TU.
4.MTAPATA NAFASI YA KUKWEPA KODI NA KUTOFUATA TARATIBU ZA UENDESHAJI BIASHARA KWA KUZIDISHA SANA USWAHIBA KITU AMBACHO KITA DIDIMIZA UCHUMI WENU KUDORORA.
5.NAFASI ZENU KTK MGAWANYO ZITAKUWA CHACHE KWA VILE ZANZIBAR AU VISIWANI NI NDOGO KULIKO BARA HIVYO MUUNGANO UNAWABEBA ZAIDI NINYI KWA MAAFISA WENU KUPATA NAFASI ZA KAZI ZAIDI HUKU MKIWA WACHACHE.
6.MTAPATA NAFASI YA KUJIHUJUMU KIUCHUMI NA KISIASA HIVYO MTAKWAMA KIUCHUMI KAMA UGIRIKI.
7.MSIFIKIRI BARA NI MSITU WA KUVUNA MALI KUINGIA NA KUKAA BURE TU, KADIRI TUTAKAVYO ACHANA NA NAFASI YENU ITABANWA ZAIDI,,,HIVYO MTAJUTIA UAMUZI WA KUVUNJA MUUNGANO ILHALI MKITAKA TUURUDISHE SISI BARA TUTAKATAA KATU.!
Haaaaa haaaa haaaaa!
ReplyDeleteAiiiiii, Aiiiii, Aiiiiiii, !!!
Ahamada umelewa, Ahamada umelewa, Ahamada umelewa!
Wazanzibar!
1.Unalewa mwenyewe kwa starehe zako unazidiwa na Pombe, unashindwa kuzuia kinyesi chako unajiharishia unasingizia uliokuwa ukinywa pombe nao Kilabuni !
2.Unalewa na Pombe huko Zenji wewe ,mwenyewe, sijui unajifanyisha umelewa au umelewa kweli, unaangusha gari,,,Watu wasiofahamika wanakuangukia UNAKUTA 'BUCHA' LAKO LIMEVUNJWA unawatafuta uliokuwa nao unalalamika wakati ulitakiwa ulewe pombe na ujiangalizie wewe mwenyewe usalama wako!
Wewe unajinyea Zenji huko kwa Ubwege wako halafu unasingizia Muungano na Bara?
Ninyi Wazanzibari wapinga Muungano:
ReplyDeleteMfano Muungano ukivunjika, mtaishi kwa Pasipoti na Visa huku Bara msifikiri mtakuwa mnakuja kama mnavyokuja sasa.
Tena pale Muungano puuu umevunjika, Asalaleeee mtawajua WANA WA RAS MAKUNJA Upande wa Uhamiaji watakuwa wanawapitia kipindi hadi kipindi nyumba hadi nyumba, tena hawatakuwa na kazi sote tunafahamiana vizuri sana Lugha-Kiswahili chenu, Mavazi, Muonekano mtakuwa hamtoki!
Ninyi watu acheni jeuri yenu mbaya !,,,hadi nyanya, vitunguu na pilipili hoho mna Import kutoka Bara halafu mnaleta ujinga hapa.
Wengi wa wapinga Muungano ukichunguza utakuta ni mtu alikuwa na fedha sasa amefilisika, hana kazi, amefukuzwa kazi, anashinda ktk kucheza Bao na Dhumna Kijiweni kutwa, unakuta yeye ni Mvuvi wa Ngadu na Kasa wenye sumu, ladba ni Mkwezi wa minazi au anagema Pombe ya Mnazi kwa siri (kwa Zanzibar).
Kwanza Vingozi wenu wa Juu wote CUF na CCM wa Zanzibar wanafahamu faida za Muungano na umuhimu wake kwa Zanzibar na wanajua wazi kuwa Zanzibar ndio inanufaika zaidi na MUUNGANO sio Bara, kama ingekuwa sivyo wangeuvunja Muungano zamani sana.
Ahhh ona Bwege wa Zanzibari huyu!
ReplyDeleteebooo!!!!,
Wewe huko Zenj unakunya ufukweni unachafua hufanyi usafi halafu unalaumu unataka ikufanyie usafi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Hilo Banda la gorofa hapo Ufukweni Bwajuu umeshapanda juu umevuta Bangi zako umelewa, umezidiwa na 'puli' umekunya chini umetupa makapi ya ganja chini pamechafuka unailaumu ikusafishie Serikali!!!
ReplyDeleteUrasta na Maendeleo , Amani, Kujituma ktk Jamii na Heshima!
ReplyDeleteRas unajenga Banda unatumia muda mwingi hapo juu kuvuta Ganja zako na kupiga Gitaa lako wala hutengi muda wa kuitumikia Jamii ya Bwajuu kwa kusafisha Ufukwe wake!
Mke asiyeridhika:
ReplyDeleteUnaweza kuwa ktk ndoa (Muungano) na Mke ukamhudumia kwa kila kitu, mavazi, chakula na unyumba...(unyumba:::Mume unamchapa Mke na 'Mtambo' hadi basi akinyanyuka anajikung'uta anavaa kufuli lake anasema bado hajaridhika analeta maneno ya NGEBE na GUBU la Kike).
Lakini kwa nyodo zake Mke anajifanya haoni huduma anayopatiwa na Mume wakati akijua kuwa anatimiziwa kwa kila kitu akitakacho!.
Mwanamke wa namna hiyo ktk ndoa ni mzigo lakini kwa Uanaume na ujasiri wa Tanzania Bara inabidi kuendelea kumbeba!