HAYATI CHARLES K. NINDI (1951-1996)  

LEO IMEPITA MIAKA 17 TANGU UTUTOKE ,KAMWE HATUSAHAU UCHESHI,UPENDO NA UKARIMU WAKO.

BABA,MIOYONI MWETU TUNAKUMBUKA URAFIKI NA UTAJIRI WA USHAURI MZURI WA MAISHA ULIYOTUPATIA.TUNAMSHUKURU MUNGU TUNAISHI KWA AMANI,UPENDO,UMOJA NA USHIRIKIANO KATIKA KUYAENZI MAISHA YAKO.

  UNAKUMBUKWA NA MKE WAKO MPENZI MRS.CONSOLATA S.NINDI,WATOTO WAKO AMANI,REMMY,JESCA,ERICK, WAKWE NA WAJUKUU WAKO WOTE KWA BAHATINZURI AU MBAYA HUKUWAONA KIMWILI ILA KIROHO UKO NAO.

   TUNATUMAINI MWENYEZI MUNGU AMEKUPA MAPUNZIKO MEMA.
  
                               AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...