Home
Unlabelled
yale yaleeeeeee,,,,,,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UMEME HAKUNA SASA WANANCHI WAFANYEJE?
ReplyDeleteTENA BADO ILIKUWA WAANIKE NGUO ZAO HAPO BAADA YA KUZIFUA.
TANESCO huwa wanalipualipua kazi zao hivyo wananchi kukwepa madhara ya kugusana kwa nyaya huwa wanatumia mbinu hizi. Maaana wanajua hitilafu yoyote ikitokea kuwaona TANESCO ni issue ya miezi kadhaa
ReplyDeleteKila kiatu kinawakilisha aliyekufa!
ReplyDeleteHiyo ni alama kuwa maeneo hayo madawa ya kulevya yanauzwa.Ingawa watu wa maeneo mengine kama kuna kijana wa mtaani akifa kiatu chake kinawekwa juu.yoote yanatumika
ReplyDeleteMambo ya Kuiga USA hayo Vijana tehteh Mdau wa Kwanza kanifurahisha, Serikali inapoiga kuachia Vijana uhuru wakufanya watakalo ndio tabia inafikia huko, sasa subirini kuona Wasichana Wadogo wanalewa na kuanguka mabarabarani kama wa kule Uengereza, Serikali ya Kilevi na Tabia itaenda Kilevi. Khalfan
ReplyDeleteSasa kama hakuna umeme mnafikiri itakuaje ? afadhali hizo waya zzibiwe zote wat wakategee wanyama porini, angalau watapata kidogo kitu cha kula. Hiyo ndio tanzania baada ya Mwalimu Nyerere na bado itazidi kuwa mbaya tu. VIVA anikeni mpaka nguo za mitumba hapo hapo.
ReplyDeleteUmeme ukija,situta anza makelele tena??
ReplyDeleteHiyo ni ishara kwamba madawa ya kulevya yanapatikana hapa - na raba makripa, raba kawaida, viatu ngozi na rangi vyote vinaashiria madawa gani yanapatikana. Sehemu zote Marekani ambapo yanauza kuna hivo viatu. Soooo ukiniambia bagamoyo nako vipo, ina maana na soko lipo.
ReplyDeleteJamani mbona hata Kawawa road karibia na Mkwajuni ukitokea Magomeni nao wametundika hivyohivyo!!
ReplyDeleteMdau wa umeme hakuna, serikali imetangaza kwamba hakutakuwa na mgao kamwe, hujasikia? lakini hata kama umeme hakuna, acha kutetea ujinga wa namna hiyo!
ReplyDeleteHeee Bagamoyo hapo Polisi wako wapi?
ReplyDeleteAsalaleee wanamtia aibu Raisi wetu!
Ahhh hawa wakamatwe mara moja!
ni alama ya wauza unga kuwa bidhaa inapatikana maeneo yaho.Inatumika saana harlem.
ReplyDeletenakubaliana na mchangiaji wa kwanza ni kweli kabisa umeme wenyewe hakuna wafanyeje sasa acha wafanya hizo nyaya kama za kuanikia viatu na nguo watu wamechoka na hii na huu ongozi wa ccm
ReplyDeleteBila shaka halimashauri ya wilaya watakuwa wanatoza ushuru hayo mabango ya biashara!!!
ReplyDeleteMDAU HICHO SIO KIOJA NI UJUMBE HUO USOME VIZURI USIKURUPUKE.WATU WASHAJICHOKEA NA TANESCO NI HIYO BASI TU TUNAOGOPA MABOMU YA MACHOZI ILA AKITOKEA WAKULIANZISHA VIZURI NA MWENYE MSIMAMO UTAONA MWENYEWE MOTO WAKE KAMA UTAZIMIKA KWA GARI LA MAJI YA KUWASHA.
ReplyDeleteuongo mkubwa huo. nyaya za umeme upita juu, takribani mita 10. si rahisi kuzifikia kirahisi, labda kwa kutumia ngazi. 'It's graphic'
ReplyDelete@Khalifan ..serikal ya uingereza, watoto wa kike wa uingereza wanahusika vipi na hii picha...vifikiria kitanzania sio kushoboka na nchi za watu.../ zilizojengwa toka kitambo
ReplyDeleteWaya zimefungwa kiholela zinaweza kugusana saa yoyote na kuleta madhara ndo maana mambo kama haya yapo sehemu nyingi sana. Tanesco wacheni kulipua kazi pia imarisheni kikosi chenu cha ukarabati.
ReplyDeleteWaya zinatakiwa kuwa insulated na hayo yote ya shoti hayatatokea. Mi sioni shida waache vijana wawakilishe.
ReplyDeleteUkweli ni kwamba, maeneo hayo yanapatikana madawa ya kulevya. fanyeni uchunguzi mtagundua. anzeni kuchunguza kinondoni manyanya, mwananyamala, nk. mtapata jibu.
ReplyDelete