MAREHEMU REHEMA BASIL KAVISHE

Ni mwaka Mmoja sasa tangu ulipotutoka dada yetu mpendwa Tarehe 15 March 2011. Kimwili haupo nasi ila kiroho upo nasi.

Unakumbukwa Sana na mwanao mpendwa Ibrahim Mbalika, wadogo zako Mkashida Kavishe, Isdola Kavishe na Miriam Alfred, shemeji zako Hassan Ibrahim na Nassoro Manzi. Wajomba na shangazi zako, mama wakubwa na wadogo, walimu wenzio, ndugu jamaa na marafiki.

Tulikupenda sana ila Mungu alikupenda zaidi.
Mungu alitoa na ametwaa,jina la bwana libarikiwe. Amen.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. R.I.P Rehema! Sikujua kama umetutangulia! My classmate at Mfaranyaki Primary School!

    ReplyDelete
  2. Rehema Rest in Peace dada, siye tupo nyuma yako It pain jamani Rehema!!!

    ClassMate Schola Njozi

    ReplyDelete
  3. Rest in Peace Rehema kiukweli nimesikitika sana kumbe ulifariki jamani wewe mbele nyuma yetu sisi pumpzika kwa aman

    Class mate Schola Njozi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...