Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah ambae yupo Washington, DC kwa kwa ziara ya TAMANI US TOUR itakayoanza rasmi April 7, 2012 kwenye kiota cha RENDEZVOUS kilichopo Rockville, Maryland wakishirikiana na mwanamuziki machachari wa hapa Washington AJ Ubao, show hiii imeandaliwa na J&P wakishirikiana na DMK Global chini ya usaidizi wa Luke Music Factory. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. Dammmmmmmmn she is hot..!!

    ReplyDelete
  2. Sina hakika kama wamarekani wangependa kumuona rihanna kutoka tanzania. Nadhani wanahitaji kitu tofauti , mfano mavazi tofauti ya kiafrika, muziki wenye mahadhi ya kiafrika na nk. Namuona huyu dada abataka kuwa bayonce zaidi! Any way she looks great.

    ReplyDelete
  3. Unajua ankal kila week WEWE lazima UJERUHI HISIA ZANGU kwa kuweka hizi picha bila kontakti wakati unajua kuwa niko single. Ankal tafadhal naomba uweke kontact za huyu binti haraka sana au uitoe picha yake humu nijue moja!

    Mdau single/bachelor

    ReplyDelete
  4. Huku Marekani watu wengi wakisikia anatumbuiza mwanamuziki kutoka Africa haswaaaaa huwa wanategemea kuona vitu tofauti na vya kwao, Lakini cha ajabu wakifika huko wanakuta tena tradition ni zilezile za kwao, Kwa kweli hasa ngozi hii tulioko huku tunajisikia aibu sana kwa jinsi tunavyojitahidi kuwaiga kila kitu.. Daaaah! tubadilike jamani.

    ReplyDelete
  5. Khaaa!!!

    ReplyDelete
  6. Linah huna haja ya kuvaa vibaya, sidhani kama upo kwenye biashara nyingine. Angalia dada yako Ray C alikuwa anavaa kama wewe, na watu wakamdharau, yupo wapi sasa! Hata Mungu anachukizwa na nguo za nusu utupu, utakosa baraka zake halafu uanze kutafuta Mchawi. Nakushauri mdogo wangu iga mfano wa Lady Jay Dee. Mbona yupo juu sana na havai vibaya?! Bado hujachelewa, jirekebishe. Hongera kwa hatua nzuri uliyofikia kimuziki.

    ReplyDelete
  7. LILE SHINDANO LA VAA IMBA CHEZA KAMA RIHANA ILITAKIWA IWE imba vaa cheza kama LINAH

    ReplyDelete
  8. tumezidi kuiga sana wala sijapenda na kukaa uchi sio maadili yetu au anafuta bwanaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. MAKUBWA MI NAMONA KM SHETANI YA WAMAREKANI WAACHIENE WAMAREKANI WENYEWE FANYENI YA KWENU YA KITANZANIA ILI NAO WASHANGAA NA KUSTAAJABU NA KUIGA POLE LINA ILA HUJAPENDEZA ILA UMEKWENDA KUFANYA BIASHARA AMBAYO HUWEZI KUPATA SOKO

    ReplyDelete
  10. He he he he! Sijui ni maendeleo au ushamba? Hizo nywele za maiti wa kizungu na hayo mavazi yasiyostahiki kuonekana hadharani haikupasa kuonekana katika mtandao unaosomwa na zaidi ya watu laki moja kwa siku duniani kote. Sisi tulioko huku ughaibuni tunaona haya sana tunaposhuhudia mambo kama hayo ya kwetu kwani ni ya aibu! Tushike mila zetu jamani.

    ReplyDelete
  11. khaa!!! ukistaajabu ya musa........

    ReplyDelete
  12. please wana muziki mnaoenda huko naomba mbadilike jamani muache hayo mambo ya uchi badilikeni vaeni mavazi kwetu ili nao waige kuliko kwenda na stail zile zile amabazo kwao wameziona hawaoni tofauti yoyote ile

    ReplyDelete
  13. sasa mnaona eeeh? kuwa wamatumbi na watwana kila siku mnaiga tabia na utamaduni wa watu wengine

    hivi wamatumbi hamna tamaduni zenu wala mavazi yenu?
    sasa kwanini mkiona watu wengine wanafata tamaduni zao mnaingilia?

    kwa mfano ile tamaduni aliyoweka ankali ya MANYAMANYAMA wadau wengi wa kikristo walichonga sana baada ya kujiona wao kama wazungu au kuiga tamaduni za kizungu

    sasa hapa imekaaje wadau? au mkuki kwa nguruwe?

    mtoto umeumbika ankali wacha kujeruhi hisia zetu mwe!

    ReplyDelete
  14. Hahahahahaha!!!!

    Mdau Single/Bachelor

    Pole kwa mshike mshike wa 'Ukware' unaokupata kwa mapicha yanayo postiwa ktk Libeneke!

    Cha msingi acha kula kwa macho jitahidi usije ukamwaga mawese a.k.a ukashuka 'Mabao' kadhaa hapo!

    ReplyDelete
  15. Linah !

    Alitakiwa kuwanyanyua Wamarekani na kuwakumbusha Watanzania Madiaspora kwa Ngoma za Utamaduni kuimba na kucheza:

    -LIZOMBE,
    -TOKOMILE,
    -NDALA NDALA,
    -MDUMANGE,
    -SINDIMBA N.k

    Na kwa mtaji wa 'Mzigo' aliojaaliwa nadhani angeweza Kuipaisha na Kuiuza Tanzania vilivyo huko!

    ReplyDelete
  16. Kubakwa kunaanzia kama hapa!

    ReplyDelete
  17. Wallahi mabata ushunguuu.....!!!!!

    ReplyDelete
  18. Picha hii ya Linah itakuwa ni kiama sana kwa waliokuwa Lupango!

    ReplyDelete
  19. Huyu dada nilikuwa namkubali lakini hicho kivazi chake kimenichefua au yupo kwenye mashindano ya mavazi? Badilika Liner unajishushia hadhi yako. Mavazi yanam-define mtu

    ReplyDelete
  20. She looks very cute but sikuwahi kuona paja la linah mpaka ameenda USA na alikuwa ni mmoja wa wanamziki wa bongo nao waheshimu kwa kutunza mila za kiafrica, haijapendeza kumuona nusu uchi msichana ambaye tulikuwa tuna mheshimu eti kwa sababu tu yuko Marekani

    ReplyDelete
  21. Mwacheni bwana! nanyie vaeni lubega basi!!!

    ReplyDelete
  22. Lina wewe hujaenda kuwatumbuiza wamarekani huna haja ya kuvaa kiasili kama mcheza kibisa wewe umeenda kuwatumbuiza wabongo wenzako tu wee piga pamba za kama za huko! ukienda rome iga ya warumi bana,,,,,nice paja by the way

    ReplyDelete
  23. Mdau hapo juu ngoma za Kienyeji Utamaduni.

    Kwa 'mtaji' wa 'Mzigo' alionao Linah angefaa sana kucheza SINDIMBA !

    ReplyDelete
  24. ANKALI MJOMBA HAKI YA NANI TENA NIRUSHIE CONTACT ZA HUYO MDADA UUUUUUUUWWWWWW UMENIULIZA SANA ANKALI UMENIVUNJA NGUVU ZOTE mwee!!

    MJOMBA NITAKUKATIA KIDOGODOGO CHA PASAKA HAKI YA NANI TENA MWENZIO NAUMIA SANA LINA WAJEMENI UMEUMBIKA MWEZIO NAUMIA KUBALI MAOMBI YANGU.

    ReplyDelete
  25. BARUA KWA LINAH

    Nategemea upo katika hali ya uzima na afya na unaendelea vizuri na maisha

    Madhumuni ya barua hii ni kutaka kukujulia hali yako na familia kwa ujumla

    Upendapo kujuwa hali yangu mimi kwa kweli sio nzuri sana kwani naumia sana kimapenzi

    Nimeona niweke wazi barua yangu hii ili uweze kuisoma na kujuwa kinachonisibu

    Mwinzio nateseka sana tokea nione picha hii nimekuwa ndani ya dimbwi la mapenzi gafla au buu baaa

    hapa nilipo mapigo ya moyo yamepunguza spidi yake ya kawaida na kwasasa yanaenda mwendo wa kuhatarisha maisha yangu

    Ombi langu kwako ni kunikubalia kuwa na mimi na ikiwezekana tufike kwa wazazi tukamaliziane

    Mimi mdau wa ughaibuni tayari nimekichanga cha kubeba boks nipo tayari tufunge pingu za maisha

    Mwisho namalizia kwa Ankali
    Ankali ningependa kukushukuru sana kwa kuweka habari za linah na kusababisha nizame kimapenzi

    Naomba sana linah unijibu kupitia Ankali michuzi namimi nitafanya mawasiliano na ankali kupata contact zako

    Ankali nakuomba ukipewa salamu zangu usinibanie au nitasema kwa mama.

    mdau mpenzi mtarajiwa wa linah.

    ReplyDelete
  26. REST IN PEACE DR.REMMY ONGALA

    WACHA NIMUENZI KIDOGO DR KWA KIBAO CHAKE HIKI

    JAMANI MAMBO.....KWA SOKSI MAMBO MAMBO KWA SOKSI DUDE HILO KWA SOKSI LIKIKUVAA KWA SOKSI UTAONDOKA KWA SOKSI NA KILO MBILI KWA SOKSI

    MICHUZI UNAKUMBUKA NYIMBO HII ILIPIGWA MARUFUKU? LAKINI ILIKUWA NA MAANA SANA NA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII SASA WADAU HAMUONI KUWA MANENO YA DR.REMMY YALIKUWA NA MAANA NA FAIDA KWA JAMII?

    MDAU LOLIONDO.

    ReplyDelete
  27. Mjomba linah mambo? umetoka bomba mjomba upo juuu achana na wachonga vinywa ukiona hivyo wana makalio ya kihindi ndio maana wanaona donge

    ReplyDelete
  28. Kaingizwa mjini! Shopping unakwenda wapi wewe? OMG! Unavaa kama wale changu-doa wa K stree Washington DC! Nimekaa marekani miaka 20 na bado nafunga tenge langu na wamarekani wanani admire kila siku, paja langu halioni mtu si kwamba sina i gat it all - mbele nyuma na pembeni but I DO RESPECT MYSELF. Lazima utembee uchi ili uonekane mzuri??

    ReplyDelete
  29. Kulawitiwa kunaanzia ktk mazingira kama anayojiweka huyu Binti!

    ReplyDelete
  30. Watu wana lishe ya kutosha , pia nguvu za kutosha za kimwili na Saikolojia zilizotulia!,,,,,pia kutokana na hali ya Jamii kuwa tete kuhusu Maambukizi watu wapo makini sana.

    Isipokuwa wewe Binti unaamsha hisia za watu zilizotulia sasa na kuwapandisha ari zao kwa uvaaji wako!

    ReplyDelete
  31. Binti Linah,

    Mke wangu amesafiri nipo peke yangu nyumbani huku Ughaibuni Ulaya sio Marekani.

    picha yako imeweka usiku kucha nikiwa nakesha usiku wa jana kuamkia leo sijapata usingizi kabisa!

    ReplyDelete
  32. Haaa,

    Binti wajua kukojoza Waume weye?

    ReplyDelete
  33. Bibie waweza sana kuteza shere Wanaume weye!!!

    ReplyDelete
  34. Kuna anayependa kuwa Basha ?

    Wengi wao hushawishika na kujikuta wameteleza!

    Isipokuwa,

    Mabasha wengi wanazaliwa kwa ushawishi wa namna hii!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...