Video ya maelezo kwa wachezaji wenye bidii ya mazowezi wakihimiza mazowezi kwa wasio bahatika kuhudhuria kila siku, katika mpango mzima wa kujianda na ligi ya Diaspora World Cup 2012 itakayofanyika Germantown na Hyattsville Maryland nchini Marekani - Na Swahilivilla
Home
Unlabelled
maandalizi ya Diaspora World Cup 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Watu hawaji mazoezini kwasababu uwanja wa kuchezea inabidi ulipiwe tena kwa muda maalum. Kazi zenyewe za kubeba box za shift, wakati wewe unacheza mpira mwenzio yuko kwenye box. Akiumia mtu insurance hana hatibiwi.
ReplyDeletewabongo bwana maexcuse kibao. Hapo mdau amesema mataifa mengine kama wakenya, n.k nao pia hali yao kama yawaafrika wote hapa marekani, lakini wan ari. Wabongo si ni wazembe fulani yaani atutaki kufanya ziada!
ReplyDeleteWabongo mabahili sana,,,ukitaka kuona Fedha zao andaa Party (mnuso) utaona watatoa pesa lakini watataka Mashariti Bajeti ya Pombe iwe juu ili walewe Masanga kwa nafasi!
ReplyDelete