Video ya maelezo kwa wachezaji wenye bidii ya mazowezi wakihimiza mazowezi kwa wasio bahatika kuhudhuria kila siku, katika mpango mzima wa kujianda na ligi ya Diaspora World Cup 2012 itakayofanyika Germantown na Hyattsville Maryland nchini Marekani - Na Swahilivilla

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Watu hawaji mazoezini kwasababu uwanja wa kuchezea inabidi ulipiwe tena kwa muda maalum. Kazi zenyewe za kubeba box za shift, wakati wewe unacheza mpira mwenzio yuko kwenye box. Akiumia mtu insurance hana hatibiwi.

    ReplyDelete
  2. wabongo bwana maexcuse kibao. Hapo mdau amesema mataifa mengine kama wakenya, n.k nao pia hali yao kama yawaafrika wote hapa marekani, lakini wan ari. Wabongo si ni wazembe fulani yaani atutaki kufanya ziada!

    ReplyDelete
  3. Wabongo mabahili sana,,,ukitaka kuona Fedha zao andaa Party (mnuso) utaona watatoa pesa lakini watataka Mashariti Bajeti ya Pombe iwe juu ili walewe Masanga kwa nafasi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...