Home
Unlabelled
Mahindi ya Kuchoma Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya waosha vinywa ambao kila siku mnasifia kuwa nchi inaendelea kwa kuangalia mjini pekeyake
ReplyDeletemuoneni dada yetu anavyotafuta riziki kwa njia kama hiyo hapo utakuta ana watoto na inabidi awasomeshe na chakula juu
tanzania bado sana maendeleo sio mjini tu mkiona majumba marefu
swagga lipo vijijini
Utamu wa mahindi ya kuchoma mchomaji awe na mafua makali!!!
ReplyDeleteAnony Wed Mar 21, 11:35:00 AM 2012"Utamu wa mahindi ya kuchoma mchomaji awe na mafua makali!!"
ReplyDeleteDuh! Ama kweli kuna watu wana mineno sijawahi ona lol!!
Ujerumani wauza vyakula huvibeba mgongoni. UK omba omba wanapewa magazeti wauze "Big Issue" na kila gazeti wanapewa 50%. Dunia nzima wajasiriamali wapo na ndio maisha. Tumpe heshima yake kwa kununua mahindi na pia awezeshwe kwa kupatiwa kibaiskeli cha maringi manne.
ReplyDeleteShida haina adabu:
ReplyDeleteHadi Dada Mchoma mahindi anaficha uso kupigwa picha akijisikia vibaya na kuwa na haya!
Jitihada inahitajika kuwaondoa wananchi wa Tanzania na Dunia nzima ktk ajira zisizokuwa rasmi kama huu uchomaji wa mahindi, hapa ina maana:
1.Uwezeshaji haujawafikia walengwa licha ya sehemu kama Arusha kubarikiwa kwa ardhi iliyo na rutuba na masoko ya bidhaa yaliyoimarika na ya hali ya juu.
Hili sio tatizo la Tanzania peke yake, isipokuwa ni nchi nyingi sana Duniani mfano taasisi za Uwezeshaji wa Kifedha kama Ma Benki na Asasi mbali mbali zimekuwa ziki sisitizwa na Mashirikisho ya Kimataifa kama WORLD BANK na IMF kuwa na urafiki wa karibu na Wahitaji kwa maana ya kupunguza Mashariti ya utoaji Mikopo na Uwezeshaji na kujenga auaminifu au kutafuta njia mbadala za kuwaamini Wateja kwa njia kama 'Credit Data Bank Refference'
2.Sera hazijatekelezeka kama zinavyonadiwa na upande wa Siasa za Kidunia na uenezi wake.