Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete (alievaa traki suti ya Blue) akizindua Matembezi ya Mkakati wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu katika kata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala,Jijini Dar es Salaam leo.(pichani kutoka kulia wapili mwenye miwani) ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa,(akifuatiwa na alievaa traki suti nyeupe) Diwani wa Kata ya Kipawa,Bona Kalua.Sherehe hio pia imehudhuriwa na viongozi mbalimballi wa Serikali na wadau wa sekta ya uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu na Mazingira wa kata hiyo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete akiongea na wananchi wa kata ya Kipawa iliopo katika Manispaa ya Ilala,Jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu ya kata hiyo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akiongea na wananchi wa kata ya Kipawa iliopo katika Manispaa ya Ilala,Jijini Dar ea Salaam leo wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu ya kata hiyo,ambapo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete ( pichani hayupo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...