Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kaka hilo somo Bongo hawalielewi kabisa....................

    ReplyDelete
  2. Yaani Bongo jamani tu washamba!!!!
    Nimezunguka dunia nzima, nchi ambazo nmekuta watu wanavaa suti na label zake ni Bongo na Yemen tu! at wa Yemen can be excused, at best wanavaa kijishuka (kikoi) na vijifulana. western clothing is totally alien to them.

    Tujifunzeni jamani, sio ubishi usio na tija!!

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli Michuzi umenifurahisha sana kuweka hii habari leo. Watanzania wenzangu wamekuwa wabishi sana kwenye suala la kutoa lebo kwenye mikono ya suti zao, wanadhani ni fashion, hawaamini kama zinatakiwa kutolewa. Wanasahau kwamba hata zilizopo kwenye collar za mashati, makoti na hata nguo za kike nk ingawa huwa zinawekwa, ukivaa huwa hazionekani kwa sababu huwa zinafichika. Haya sasa wamesikia kutoka kwa wenye kuzitengeneza na/au walioanza kuzitengeneza, natumaini watajirekebisha! Ila nashauri zitumike pia njia nyingine za mawasiliano kuwahabarisha wananchi mfano, vipindi mitindo vya televisheni, radio, magazeti nk maana si wote wasomao blog yako.

    ReplyDelete
  4. ChakubangaMarch 17, 2012

    It is simple and clear ! tag (lebo) must be removed unless if you are Nyoshi Al-Sadat and the like

    ReplyDelete
  5. Ni kweli kabisa Wadau, lakini kwa nini imewekwa kwa nje na sio ndani ya Koti? Unakuta koti ndani lina lebo na nje inakwepo pia, lakini nguo nyingine hata za ndani, lebo inawekwa upande wa ndani. Wanaokosea ni Makampuni ya Suti kwa maoni yangu! Au waweke user manual basi.

    ReplyDelete
  6. Nyoshi Al-sadat amesema anaacha lebo sababu yeye akipiga ile pamba yake watu wanataka...so yeye anaacha sababu akimuuzia mtu inakuwa kama mupya! Shindo vilee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...