Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kiwete akisalimiana na Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Tanzania ( JUWAKITA) Mkoani Morogoro Machi 18.2012 alipohudhuria Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW). yalioandaliwa na jumiya hiyo ya JUWAKITA
Mke wa Rias na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kulia) na Mwenyekiti Taifa wa JUWAKITA Mama Shamim Khan kwa pamoja wakifuatilia ratiba katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) katika Chuo cha Kiislam- Morogoro.Maadhimisho hao yameandaliwa na Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoa Morogoro
Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro kwenye Maulid hayo. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...