Home
Unlabelled
mambo ya linah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Linah, wimbo wako ni mzuri sana kama nyingine unazoimba. Ila shooting mbona umeiharakisha sana mchumba?
ReplyDeleteAlaahhh
ReplyDeleteLinah kumbe unajua kuvaa kwa adabu sio ?
Wakati mwingine unakuwa kama Mcharuko vilee !
Hu mwimbo ni wa bima modern ama muungano dance. I love the song. umefanya vyema kuutengeneza kwani da memories about this song ilipotea. Thanks 10000000 times
ReplyDeletehii ni taarabu au sijaelewa!sio mzuri
ReplyDeletemakubwa wanakuingilia na nani tena au (Amini niniiiiiiiiiiiiii
ReplyDeletewape wape swaiba manake wamezidi
ReplyDeleteSHOOTING MBAYA KINOMAAAAAAAAA UMEWAOKOTA WAPI HAO WANAWAKE ILA HIYO STAIL YA MATARUMBETA NIMEIPENDA
ReplyDeletejamani wimbo mzuri sana naomba kama kuna mtu anajua aliyeiimba huu wimbo zamani anipe jina niwazekusikiliza ktk youtube pls nataka orginol yake huu wimbo nilikuwa naupenda sana lakini nimesahau aliyeimba
ReplyDeleteHao unawaona wanawake njaa ni mama za watu kama ww na ndio maisha ya kibongo hayo..ulitaka wajitwike kama Beyonce sio ili uwasifie mapaja...
ReplyDeleteAnon. Uliyetaka kufahamu hapo juu. Huu wimbo uliimbwa na kikundi cha BIMA MODERN TAARAB miaka hiyo na aliyeimba nyimbo hiyo alikuwa akiitwa Bi Maryam Nailoni, kwa sasa hayupo tena duniani (Mwenyeez Mungu amrehemu na amlaze pema PEPONI pia amughufirie kwa yote - AMEN). Ila sidhani kama ipo kwenye U-tube, lakini jaribu kuangalia.
ReplyDelete