Home
Unlabelled
mboga mboga sokoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka michuzi na wadau wote wa hii blog yaani hakuna kitu kinaniudhi kama tabia ya wanawake wa Arusha na sasa imeendea sehemu nyingi nchini eti anaenda sokoni kununua mboga za majani au ndizi za kupika hataki kutayarisha mwenyewe, mboga inakatiwa sokoni, ndizi zinamenyewa sokoni... hii ni tabia chafu sana sio kwenda na wakati.
ReplyDeletewaache wale makonokono maana sidhani kama zinaoshwa vizuri. Wanawake siku hizi tumekuwa wavivu sana madai yetu tuko busy sijui busy na afya za familia zetu kama vinalingana. Akina ebu tuache hizo tujali jukumu tulilopewa na Mungu la kutunza familia na tuhakikishe afya zao ni nzuri na wanakula chakula safi na bora.
ReplyDeleteMdau Mwanamke mkereketwa
hapo moshi wa magari na mavumbi ni hatari kwa afya za wafanyabiashara na walaji.
ReplyDelete