Kamera ya Globu ya Jamii leo imemsada mdau huyu ambaye alikuwa yuko makini kweli kweli kupitia nyuzz mbele ya banda la kuuzia magazeti jijini Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. so what, hizo ni raha zake anamzuia nani?

    ReplyDelete
  2. huyu ndio mtanzania Halisi ukimuangalia toka juu mpaka chini ndio utagundua maana ya mtanzania.Nyerere Baba tutakukumbuka sana! wakati wa Nyerere wengi wetu tulikua sawa ila sasa Mhhhh! Pata Newz Mdau huenda Nchi imeshauzwa angalia wapi wanagawana hiyo pesa utuambie nasi twende! Kazzzzzzzzzzzzzzzziiiii kweliii kweliiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...