Wananchi wa kijiji cha Mirongoine pamoja na wale wa kijiji cha Moshono Jijini Arusha leo wameandamana hadi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magessa Mulongo kupinga kuamishwa katika makazi yao pamoja na kuomba kuachiwa huru kwa maeneo yao ambayo wamedai kuwa yanamilikiwa na wanajeshi ili waweze kufanya maendeleo.
Kiongozi wa Wananchi hao walioandamana leo hadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha,aliyejulikana kwa jina la Emmanuel Masamaki akitoa malalamiko yao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magessa Mulongo  (hayupo pichani) leo Jijini Arusha.Picha na Woinde Shizza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Migomo,maandamano everywhere..

    David V

    ReplyDelete
  2. Hii nchi kwa mwendo huu naona tunaelekea walikopitia Tunisia na Misri.

    ReplyDelete
  3. MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLEPOLE!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Lazima serikali itambue nyakati(reason and season) kama wanatetea wanaume kuoana kuwa ni human right sasa haya msipinge. Hizi ndo human right. Mbona hatujasikiaga wanajeshi wakihamishwa?

    ReplyDelete
  5. Tanzania kisiwa cha Amani.mhmmmmm!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...