Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa (kushoto) akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) leo asubuhi. Wa pili kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Home
Unlabelled
MKAPA ATUA ARUMERU KUFUNGA KAMPENI ZA CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana! Sisi wana-Arumeru tunakukaribisha kwetu na kwako Mheshimiwa Benjamin Mkapa. Tuko pamoja na CCM na Ndugu Sioi Sumari. CCM imara daima!
ReplyDeleteHaya Mzee wa Kazi Ben na 'Jembe' Nape !
ReplyDeleteKilichobaki ni kumkabidhi Mbunge Arumeru Mashariki JEMBE na NYUNDO mkononi aanze kuivinja Chadema vipande vipande !
Haya kumekuchaaaaa!!!
ReplyDeleteWanaumeee ,eeeehh ,Wanaumeeee enhhh,!!!!
Kilichobaki kwa CDM ni kuchukua Mikopo yao SACCOS tayari kurudi ktk Miradi yao ya kuendesha Ma Bar na Pubs,,,,!!!!
Nyie waandishi tafadhalini na maelezo yenu,Rais mstaafu Benjamin Mkapa yuko kulia na sio kushoto!...ni vema ukaeleza kuwa yuko kushoto kwa mwandishi,mpiga picha au msomaji???kuweni makini!!
ReplyDeleteWalau Ben angejua anakwenda kwenye Safari ya Kifo na Aibu kubwa angejirudia kwake !
ReplyDeleteHapa ilikuwa Ijumaa wakati KIFO CHA CCM kinatokea Jumapili.
Ni vile daima ni vigumu kujua yajayo !
Hapa ilikuwa siku mbili kabla na 'mnemba' wa Alama ya V kuzama kimiani !
ReplyDeleteCCM Chaliiiiii........!!!!!!!