Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Philip Mulugo (kushoto) na  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam,  Profesa Rwekaza Mukandala  baada ya kufungua  Mkutano wa Kitaifa kuhusu  Elimu ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwenye hoteli ya Kunduchi  jijini Dar es salaam Machi 28, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  Mradi wa  Ufugaji kuku wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine kwenye ukumbi wa  Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Machi  28,2012. Katikati ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na  Uvuvi, Benedict Ole -Nangoro.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoka kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaa baada ya kuzindua  Mradi wa  Ufugaji kuku wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Machi  28,2012. Kulia ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na  Uvuvi, Benedict Ole -Nangoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...