Mtoto anayeonekana kwenye picha amepotea tangu tarehe 16/02/2012, jitihada mbalimbali za kumtafuta zimefanyika lakini bila mafanikio.Anaitwa Felista Sialeo,ni mwanafunzi wa darasa la tano,shule ya msingi Mtambani,kwa mara ya mwisho alivaa sare ya shule ,yaani sketi ya blue na shati jeupe,alikuwa anaishi Tabata magengeni.
Kwa yeyote atakaye mwona,apige namba 0755382300 au 0758491854
Loh poleni.Na mimi nina binti wa darasa la tano analingana na huyu.Naweza kuhisi uchungu mlionao wazazi/walezi wake.Hope atapatikana..Bado mdogo huyu kama kuna m2 kamtorosha apelekwe kwenye mkono wa sheria.Kuna wengine tunawaona humu wamepotea tukiangalia umri wao mkubwa "tunahisi walipo" lakini siyo huyu..huyu ni mdogo sana.
ReplyDeleteDavid V
I hope she's still alive!
ReplyDeleteDuh inaniuma, nilifiwa na mtot wangu the same age, nahisi uchungu, Mola InshaALLAh ataajaalia kupatikana hai na salama. mzidi kufanya maombi
ReplyDeleteHatua kali zichukuliwe kwa atakaehusika na kupotea kwa Binti huyu wa Darasa la Tano !
ReplyDeleteMambo kama haya sio mtu ahusike halafu anapewa dhamana anaonekana anatamba Mtaani hii sasa imetosha HAPANA KABISA!
JAMANI WAZAZI POLENI SANA,HII YAWEZEKANA MTOTO KACHUKULIWA NA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BINADAM WENZAO KUPATA PESA.
ReplyDelete